Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad ametua leo wilaya ya Chato ambapo amekutana na mwenyeji wake ambaye ni Rais wa JMT, Dkt. John Pombe Magufuli. Maalim Seif yupo ziarani wilaya hiyo akiwa na Rais Mwinyi ambapo pia watatembelea soko la dagaa.
Rais Magufuli amempongeza Maalim Seif kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Rais Magufuli amempongeza Maalim Seif kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.