Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

Tundu Lisu huwa anaongelea sana Chato Sasa aliyemuunga mkono Maalim SEIF huyo katua Chato kwa tabasamu kali

Mcheki hapo akikagua mradi wa daraja la Busisi na kupokea taarifa ya ujenzi

Wanamchora kwa kutakatisha umwagaji wa damu za Wazanzibar.
 
Mwaka huu hata kabla ya Arobaini ya wahanga watu wameelekea kibra .....hata hiyo 40 yenyewe haikuwako ....? ....halafu mtu anaenda kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ....interest zake binafsi ni hizi za umakamu wa rais butu ...
Si Maalim alisema kesi ipo ICC. Alishaifuta huko, au ndio sehemu ya maongezi ya ziara hii?
 
Kuuumbe! sasa naelewa! Magufuli siyo tu dikteta bali gaidi kama akina alshabaab/alkaida and the like! Magu I hate u to death! you killed my brothers I am sure my God will just pay for me!
Cha kuambiwa changanya na akili yako. Husichukulie kila kitu serious kiasi hicho.
 
Nenda mahakamani, peleka ushahidi wako.Mengine porojo

Hakuna mahakama za kuwapa wapinzani wa kweli haki hapa Tanzania, hao Makada wa ccm huko mahakamani kazi yao ni kulinda maslahi ya ccm.
 
Hakuna mahakama za kuwapa wapinzani wa kweli haki hapa Tanzania, hao Makada wa ccm huko mahakamani kazi yao ni kulinda maslahi ya ccm.
Hata upinzani Siku ikiingia madarakani ngoma itakuwa hiyo hiyo. So acha walioko wale wakishiba watatoka. Wewe na mimi tuendelee kuwatafutia familia zetu mkate wa kila siku
 
Hata upinzani Siku ikiingia madarakani ngoma itakuwa hiyo hiyo. So acha walioko wale wakishiba watatoka. Wewe na mimi tuendelee kuwatafutia familia zetu mkate wa kila siku

Wasipotoa haki wakiingia madarakani nao tutawapigia kelele hivi hivi.
 
Nimecheka kwa nguvu balaa, yaani Tundu Lisu ajirushe ghorofani kwa Maalim Seif kukutana na Magufuli? Huyo Lisu sidhani hata kama anatamani kukutana na Magufuli, wako wanaotamani na kutetemekea kukutana na Magufuli, ila Lisu sio mmojawao.
Mbona siku ile alisema Magufuli afanye maridhiano?

Au alitaka Magu afanye maridhiano na nani sasa?
 
Duuuuuuhhh
Main-Dung-Beetle.jpg
 
Ukweli kuhusu chuki dhidi yao nchi nzima wanaujua. Bila kuiba kupitia polisiccm na tume fake hatima yao kwenye uchaguzi wanaijua.
Na nyie ccm mpunguze kuiba kura .

Miaka yote mliotawala TANZANIA bado hamjiamini?
 
Back
Top Bottom