Tundu Lisu huwa anaongelea sana Chato Sasa aliyemuunga mkono Maalim SEIF huyo katua Chato kwa tabasamu kali
Mcheki hapo akikagua mradi wa daraja la Busisi na kupokea taarifa ya ujenzi
Nenda mahakamani, peleka ushahidi wako.Mengine porojoBaada ya kuiba kura siyo?
Si Maalim alisema kesi ipo ICC. Alishaifuta huko, au ndio sehemu ya maongezi ya ziara hii?Mwaka huu hata kabla ya Arobaini ya wahanga watu wameelekea kibra .....hata hiyo 40 yenyewe haikuwako ....? ....halafu mtu anaenda kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ....interest zake binafsi ni hizi za umakamu wa rais butu ...
Mkuu fursa hiyo inafaa tufungue kamladi ketu kule, maana sio poa.
Cha kuambiwa changanya na akili yako. Husichukulie kila kitu serious kiasi hicho.Kuuumbe! sasa naelewa! Magufuli siyo tu dikteta bali gaidi kama akina alshabaab/alkaida and the like! Magu I hate u to death! you killed my brothers I am sure my God will just pay for me!
Nenda mahakamani, peleka ushahidi wako.Mengine porojo
Hata upinzani Siku ikiingia madarakani ngoma itakuwa hiyo hiyo. So acha walioko wale wakishiba watatoka. Wewe na mimi tuendelee kuwatafutia familia zetu mkate wa kila sikuHakuna mahakama za kuwapa wapinzani wa kweli haki hapa Tanzania, hao Makada wa ccm huko mahakamani kazi yao ni kulinda maslahi ya ccm.
Mahakama ipi? Kesi ya nyani umpelekee ngedere?Nenda mahakamani, peleka ushahidi wako.Mengine porojo
Hata upinzani Siku ikiingia madarakani ngoma itakuwa hiyo hiyo. So acha walioko wale wakishiba watatoka. Wewe na mimi tuendelee kuwatafutia familia zetu mkate wa kila siku
As per your 2MB brains .....
Atajifanya eti kutoa tamko akiwa amejichimbia huko ukimbizini, ha ha ha.
Leo hadi Amstwadam hata pata mlo
Mbona siku ile alisema Magufuli afanye maridhiano?Nimecheka kwa nguvu balaa, yaani Tundu Lisu ajirushe ghorofani kwa Maalim Seif kukutana na Magufuli? Huyo Lisu sidhani hata kama anatamani kukutana na Magufuli, wako wanaotamani na kutetemekea kukutana na Magufuli, ila Lisu sio mmojawao.
Mbona siku ile alisema Magufuli afanye maridhiano?
Au alitaka Magu afanye maridhiano na nani sasa?
Rolya?Angalia avatar utaijua wilaya
Odhis *
Inaandikwaje? Rorya au Lorya?Haiandikwi hivyo
Odhis *
Na nyie ccm mpunguze kuiba kura .
Miaka yote mliotawala TANZANIA bado hamjiamini?
Sasa utalinganisha ya huko na huku ?! .Inaandikwaje? Rorya au Lorya?