Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sibishani na masikini,wasiokuwa na hoja za kujadili.
Siku nyingine ukiona hii Id utakuja kwa adabu ww punga. Ngiri jike ww, unategemea ajira kisha unakuja kupanulia wanaume jicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sibishani na masikini,wasiokuwa na hoja za kujadili.
Tunaona tu comments zako nyingi huku ni za kulialia maisha magumu.Ulijichanganya na mimi ngoja nikuchumishe matembele ili siku nyingine ukae kwa kutulia. Kuna mtu unamlisha humu kama unavyolishwa na mabasha zako, mpaka uhoji uwepo wangu hapa jukwaani?
Sibishani na masikini,wasiokuwa na hoja za kujadili.
Kwani anakaa gorofani?
Wewe ni debe tupu.Siku nyingine ukiona hii Id utakuja kwa adabu ww punga. Ngiri jike ww, unategemea ajira kisha unakuja kupanulia wanaume jicho.
Tunaona tu comments zako nyingi huku ni za kulialia maisha magumu.
👉Unauliza kama nimewahi kukulisha, kuna siku yoyote umewahi kuniomba nikusaidie hela ya mboga nikakunyima?
Kwahiyo unajivunia hizi comment zako za kijinga🤔? Ungekuwa bora zaidi kama lingezaliwa kreti la bia watu wanywe, walewe kuliko wewe tutusa.Una hoja gani ya kujadili ww dunya, ungekuwa na hoja ungenipamia kishamba?
Wewe ni debe tupu.
Kuna uzi wowote wa jukwaa la siasa ambao umewahi kukupita?😂, Chaajabu ni kwamba hakuna michango wowote wa maana ukiowahi kuutoa zaidi ya kulia njaa tu na Maisha magumu.Ni lini niliwahi kulia maisha magumu, au unadhani nina dhiki za hivyo? Usijifanye unanijua kima ww.
Kwahiyo unajivunia hizi comment zako za kijinga🤔? Ungekuwa bora zaidi kama lingezaliwa kreti la bia watu wanywe, walewe kuliko wewe tutusa.
Kwa akili hizi zinazocomment utumbo hapa,afu baadae unajiita msomi uliokosa ajira huku ukiilaumu serikali🤔Hicho kis...imi kilikuwa nje ya housing sasa nimekirudishia mahali pake, utakaa kwa adabu mshamba mkubwa ww.
Wewe uliekulia mjini una kipi cha maana zaidi ya kushinda huku Jf na kutumikishwa na wanasiasa?😂😂😂😂😂😂😂Nasema hivi next time utakuwa umeshika adabu na hii Id, katafute hao mapesant wenzako mliokuja mjini ukubwani ndio uwachomekee lugha za kuduwanzi.
Kuna uzi wowote wa jukwaa la siasa ambao umewahi kukupita?😂, Chaajabu ni kwamba hakuna michango wowote wa maana ukiowahi kuutoa zaidi ya kulia njaa tu na Maisha magumu.
Sikunyingine niombe hela nitakusaidia, usijivunie ubongo uliojaa matusi,hautakusaidia lolote hapa mjini.Nasema hivi next time utakuwa umeshika adabu na hii Id, katafute hao mapesant wenzako mliokuja mjini ukubwani ndio uwachomekee lugha za kuduwanzi.
Kwa akili hizi zinazocomment utumbo hapa,afu baadae unajiita msomi uliokosa ajira huku ukiilaumu serikali🤔
Bwana mdogo, wewe hata ualike ukoo wako wote huwezi kunikaribia maisha.Tofauti na hapa Jf ,wewe huwezi pata nafasi hata ya kujibizana na mimi hivi.Mshukuru sana Mello. ☹️Pitisha censorship ya post zote hapa jukwaani, ulitaka nyuzi ngapi zinipite labda ili ujue nakukaribia kimaisha kwa mfano?
Sikunyingine niombe hela nitakusaidia, usijivunie ubongo uliojaa matusi,hautakusaidia lolote hapa mjini.
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa.
Akizungumza kutokea Chato Mkoani Geita, Rais Magufuli amesema, katika Umoja wao (Dkt. Mwinyi na Makamu wa Kwanza na wa Pili wa Rais) mwanga wa Maendeleo ya Zanzibar umeanza kuonekana, akisisitiza pia ni Maendeleo ya Tanzania
Amewataka waendelee kufanya kazi akiwahakikishia ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisema hatowaacha kamwe kwasababu wote wanahubiri Amani.
Rais Mwinyi na Maalim Seif wamewasili Wilayani Chato leo kwa ziara ya siku mbili.
Narudia tena, nje ya hii Jf ninao uwezo wa kupangia uione kesho au laah, kama utaingia kwenye anga zangu.Mshukuru Mello unapata nafasi ya kujidai hivi😊Ningehitaji ajira ningechagua sehemu ya kuwepo, nimesharuka hatua ya ajira dogo. Ww ndio unategemea ajira za wanaume wenzio.