Mashehe wako ni magaidi
..hawajahukumiwa na mahakama.
..na uchunguzi haujakamilika kwa zaidi ya miaka 5.
..kuliko kuwaachia walawiti waliopatikana na hatia, ni bora kuwaachia Mashekhe ambao imeshindikana kupata ushahidi wa kuwatia hatiani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashehe wako ni magaidi
We wasema,hebu ngoja nimpigie nimuulize,ntarudi kwako.Lisu alipofika tu ubelgiji alisema lazima Magufuli afanye maridhiano ya kitaifa, ndio kusema kwamba Lisu alikuwa anataka Magufuli awaite ili awagawie vyeo kama ilivyofanyika Zanzibar, na kama ingetokea pale chadema hakuna wa kukataa na leo hii Lisu pengine angekuwa waziri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee kaona 2025 atakuwa kikongwe tayari akakubali amalizie makombo ya keki haram.Naona Maalim Seif "anakula nyanya"..!! Unafqi unalipa sheikh..!!
Kwahiyo alitaka maridhiano na nchi ipi?
Mashehe wako ni magaidi
Njaa mbaya sanaRais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa.
Akizungumza kutokea Chato Mkoani Geita, Rais Magufuli amesema, katika Umoja wao (Dkt. Mwinyi na Makamu wa Kwanza na wa Pili wa Rais) mwanga wa Maendeleo ya Zanzibar umeanza kuonekana, akisisitiza pia ni Maendeleo ya Tanzania
Amewataka waendelee kufanya kazi akiwahakikishia ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisema hatowaacha kamwe kwasababu wote wanahubiri Amani.
Rais Mwinyi na Maalim Seif wamewasili Wilayani Chato leo kwa ziara ya siku mbili.
Amani wakati kuna makaburi mabichi yatokanayo na uchaguzi
Amani wakati kuna makaburi mabichi yatokanayo na uchaguzi
Kwakua wewe ni mke wake,ndomaana unajiapiza hivyo au ndo unaongea kishabiki kama kuku aliyekatwa kichwa? Ni wanaachedema wangapi mliwasifu hivyo, na leo hii hamko nao tena huo ufipani?Nimecheka kwa nguvu balaa, yaani Tundu Lisu ajirushe ghorofani kwa Maalim Seif kukutana na Magufuli? Huyo Lisu sidhani hata kama anatamani kukutana na Magufuli, wako wanaotamani na kutetemekea kukutana na Magufuli, ila Lisu sio mmojawao.
Umekuwa wimbo wa taifa sasaAmani wakati kuna makaburi mabichi yatokanayo na uchaguzi
Bahati yako, haukufata agizo la hao viongozi wako la kwenda barabarani. Hata wewe ungeenda na maji.Wanamchora kwa kutakatisha umwagaji wa damu za Wazanzibar.
Kwakua wewe ni mke wake,ndomaana unajiapiza hivyo au ndo unaongea kishabiki kama kuku aliyekatwa kichwa? Ni wanaachedema wangapi mliwasifu hivyo, na leo hii hamko nao tena huo ufipani?
Bahati yako, haukufata agizo la hao viongozi wako la kwenda barabarani. Hata wewe ungeenda na maji.
Kama unalitambua hilo, basi acha kiherehere cha kukufanya unamjua sana mmeo lissu kiasi cha kujua hata anayowaza kufanya huko mbeleni.Asante mama Majaliwa, hakuna mwanacdm anakatazwa kuhama ila akihama tunasitisha support kwake maana anakuwa useless kwetu.
Matusi na dhihaka kwangu havitakusaidia kuondokana na umasikini ulionao,unaokufanya ushinde humu kusubiria nyuzi za wapumbavu wenzako Ili ucomment "Magufuli kasababisha maisha magumu" .Wangapi mshawapeleka na maji ili tujue kina cha maji ww shoga mjane?
Kama unalitambua hilo, basi acha kiherehere cha kukufanya unamjua sana mmeo lissu kiasi cha kujua hata anayowaza kufanya huko mbeleni.
Matusi na dhihaka kwangu havitakusaidia kuondokana na umasikini ulionao,unaokufanya ushinde humu kusubiria nyuzi za wapumbavu wenzako Ili ucomment "Magufuli kasababisha maisha magumu" .
Sibishani na masikini,wasiokuwa na hoja za kujadili.Naona umekimbia mabasha huko bar baada ya kuwanywea bia zao, sasa unakuja kulazimisha mabasha kinguvu huku jukwaani we punga.