Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Sawa.Ulijimix kunitolea matusi hukujua kuwa huku unashika umeme wa high tension. Nimevuka hatua ya hela ya chakula, pambambania wazazi wako huko bush dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Ulijimix kunitolea matusi hukujua kuwa huku unashika umeme wa high tension. Nimevuka hatua ya hela ya chakula, pambambania wazazi wako huko bush dogo.
Bwana mdogo, wewe hata ualike ukoo wako wote huwezi kunikaribia maisha.Tofauti na hapa Jf ,wewe huwezi pata nafasi hata ya kujibizana na mimi hivi.Mshukuru sana Mello. ☹️
Sawa.Ni kweli siwezi kukukarabia, toka lini nikamkaribia peasant wa sampuli yako? Yap hii ya Mello tunajiachia vibaya, ukitaka anzisha blog yako mkutane na malimbukeni wenzako. Rudi shule ukajifunze kuandika na kuweka space kwenye maneno maana umeshapanick.
Unataka yaendelee? Kweli usharetire kifkra.Amani wakati kuna makaburi mabichi yatokanayo na uchaguzi
Anajuta. Alienda zenji kumnadi maalim akajua maalim ana kiburi cha kipumbavu kama chake.
Magufuli si mwanasiasa ni mtawala wa mabavu.
Mtoa mada huna akili,hujui kuwa maalimu ni makamu wa 1 wa rais kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar?Nimemsikiliza Rais Magufuli katika hotuba yake ya jana kwa makini sana, ambayo alimmwagia sifa kem kem kiongozi wa ACT Wazalendo kwa kukubali kujiunga katika serikali ya umoja kitaifa huko Zanzibar.
Aliendelea kueleza kuwa Maalim Seif ni kiongozi shukaa na wa kipekee, kwa kuwa ameamua kuweka maslahi mapana ya visiwa hivyo na kuacha maslahi yake binafsi na kujiunga na serikali aliyoiunda Dr Mwinyi.
Swali langu ninalojiuliza iwapo Rais Magufuli ameona umuhimu wa maridhiano huko Zanzibar, ni kwanini naye haundi serikali ya umoja wa kitaifa na viongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema?
Umetolewa mwito na viongozi wa Chadema kwa Rais Magufuli kwa muda mrefu, kuwa aangalie uwezekano wa kuwaalika wao viongozi wa Chadema ili wajadili mustakabali wa kitaifa, lakini kwa bahati mbaya ni yeye Rais Magufuli ambaye amewafungia mlango viongozi hao wa Chadema kwa kukataa kufanya maridhiano hayo.
Kama alivyoongea Rais Magufuli kuwa ni muhimu kuwa na mwafaka wa kitaifa na viongozi wa upinzani kwa maendeleo ya Taifa.
Sasa ni kwanini yeye Rais Magufuli amesifu serikali hiyo ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar wakati yeye anaukataa umoja huo wa kitaifa kwa serikali ya Muungano?
Ninachojua ni kuwa yeye Rais Magufuli siyo muumini wa serikali ya umoja wa kitaifa na anachotaka yeye ni kuwaona viongozi hao wa Chadema "wakisalimu amri" kwa kujiunga na CCM ndipo awaingize kwenye serikali yake, lakini kwa viongozi hao kubaki Chadema, hakubali kabisa kuwajumuisha kwenye serikali yake!
Mbona Rais Mwinyi amekubali kumwingiza kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar akiwa kiongozi wa ACT Wazslendo, ni kitu gani kinachomshinda yeye Rais Magufuli kuwajumuisha akina Mbowe katika serikali ya umoja wa kitaifa katika serikali ya umoja wa kitaifa katika serikali ya Muungano?
Ni lazima Rais Magufuli ajue kuwa viongozi wa Chadema wana makovu mengi sana yaliyotokana na uchaguzi mkuu uliopita, kwa hivyo namna pekee ya kuyaondoa makovu hayo ni kukubali kuwajumuisha viongozi hao wa Chadema katika serikali yake na siyo "kuwanunua" viongozi hao ili wajiunge na CCM!
Kama asemavyo Mara kwa Mara Rais Magufuli kuwa maendeleo hayana chama, tujenge Taifa letu kwa umoja wetu, kwa kuheshimiana na kuondoa uhasama kwa vyama vyetu.
😂😂😂Kuna siku tutaamka na kukuta Maalim Seif na team yake wamemvua Zitto uanachama
Mbona mkuu chagu wa malunde unakimbilia matusi?Mtoa mada huna akili,hujui kuwa maalimu ni makamu wa 1 wa rais kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar?
Anatetea tumbo lake huyo, anataka mfalme atoe tamko ili apate leseni yake ya kufungua kituo cha television.Mbona mkuu chagu wa malunde unakimbilia matusi?
Nyinyi maccm mnaposhindwa kwenye hoja mnabaki kutoa mapovu!
Na kweli watanzania tumepotea "step" badala ya kuchagua mwanasiasa tumechagua mtemi ambaye anaamini kuwa kauli yake ndiyo sheria!Magufuli si mwanasiasa ni mtawala wa mabavu.
chagu wa malunde yupo sahihi, maana Mwandishi mzuri ni yule anayefanya utafiti angalau kiduchu. Wewe unatumia sentiments kujenga hoja. Suk na smt ni vitu viwili tofauti.Mbona mkuu chagu wa malunde unakimbilia matusi?
Nyinyi maccm mnaposhindwa kwenye hoja mnabaki kutoa mapovu!
Miaka itafika 10 ni hayo hayo tu baadala ya kujipanga kuanzia ngazi za kijiji.Na kweli watanzania tumepotea "step" badala ya kuchagua mwanasiasa tumechagua mtemi!
Kwani "anaponunua" viongozi wa Chadema, ndivyo Katiba ya nchi inavyomtaka afanye hivyo?Elewa kwanza kilichofanyika Zanzibar ndio uanze kulinganisha na hapa Tanzania Bara.