johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
GwajimaMwambie aache UNAFIKI na KUMNG'ONG'A Mama Maria Nyerere, kwani Patrobas Katambi alimsaidiaje alipobwagwa na wajumbe?!
Kama Patambi wa Shinyanga😩😩😩 hii ndio Prof .Chachage aliita collective imbelization ...kupumbaishwa kwa Umma!ni kweli kuna nyakati inakuwa ngumu kumsaidia mtu hususani yule aliyeshindwa kabisa kubebeka
Katambi alipata kura ngapi, Silinde alipata kura ngapi. ptuuiuiuu
Hawa jamaa mishipa ya aibu ilishakatwa.Kama Patambi wa Shinyanga[emoji30][emoji30][emoji30] hii ndio Prof .Chachage aliita collective imbelization ...kupumbaishwa kwa Umma!
Hivi mnamtete JPM hata penye Pumba!
Nadhani hua anajiropokea tu mfano ni juzi tu alisema Nyerere aliongoza kwa miaka 27.Ninadhani hapa Rais Magufuli amedanganya au amedanganywa Makongoro huwa hakai Butiama na anayekaa sana Butiama ni Madaraka tu pekee.
Nadhani hua anajiropokea tu mfano ni juzi tu alisema Nyerere aliongoza kwa miaka 27.
Mtu kama Pascal Mayalla angesaidiwaje kwa mfano!Magufuli ni mnafiq balaa. Katambi na Gwajima walisaidiwaje?