kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Makongoro ni kama Le Mutuz watoto wa wakubwa ambao hawakutumia fursa vizuri.Utawabebaje sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Patambi ilikuwaje !Mtu kama Pascal Mayalla angesaidiwaje kwa mfano!
Alimusaidiaje katambi shinyanga?Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa.
Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa Kamati Kuu ingewasaidiaje?
Pamoja na kuwa ni watoto wa baba wa taifa hawajalalamika, nawapongeza sana amesema Dkt. Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
Katambi alipata kura ngapi?Alimusaidiaje katambi shinyanga?
Pumbavu kabisa.
Kahamia Canada lini?!Madaraka anaishi Canada na,
Makongoro anaishi Arusha.
Bahati mbaya wanaogopa kufungua midomo, yule Masele wa Shinyanga Mjini yupo kimya tu lakini ana lake moyoni.Hii kauli ya kuwalaumu wajumbe wakati yeye na Kamati kuu waliwatoa wale waliopendekezwa na wajumbe...
Huku Ni kutafuta huruma kwa wale walioenguliwa ktk Kamati kuu... Ukweli ndani ya CCM upo msuguano mkali Sana.
Issue si wasaidizi kuwa na taarifa sahihi.'Kilichonisikitisha' zaidi ni kwamba inakuwaje hata 'Wasaidizi' wake tu 'Taarifa' kama hii wanashindwa kuwa nayo hadi Mheshimiwa 'anakosea' hivi?
mmepata Rahis jiwe kweli kweli...sipangiwi'Kilichonisikitisha' zaidi ni kwamba inakuwaje hata 'Wasaidizi' wake tu 'Taarifa' kama hii wanashindwa kuwa nayo hadi Mheshimiwa 'anakosea' hivi?
Duuuh!Gwajima anaishi kawe ila alifeli ukambeba
Akaja Katambi ukambeba
Mama maria "nimelazimishwa kuja kwenye mkutano kwa sababu sikuwa na cha kuongea(kusifia)"
Kila kitu "maendeleo hayana chama" sasa hapo waliowakata hao watoto wa Nyerere ni CHADEMA?Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa.
Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa Kamati Kuu ingewasaidiaje?
Pamoja na kuwa ni watoto wa baba wa taifa hawajalalamika, nawapongeza sana amesema Dkt. Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
Mbeleko zilipwaya watoto wa Nyerere, kura 5 , Na 2Katambi
Gwajima
Silinde
Kimei
Pauline Gekul
Na wengineo
....mbona walibebwa? Au mbeleko zao ziliwatosha wakati kwa wengine zilipwaya?
Alimsaidiaje Katambi. Anhetumia mbinu hiyo hiyo kumsaidia na Madaraka au MakongoroRais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa.
Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa Kamati Kuu ingewasaidiaje?
Pamoja na kuwa ni watoto wa baba wa taifa hawajalalamika, nawapongeza sana amesema Dkt. Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
Makongoro ni kama Le Mutuz watoto wa wakubwa ambao hawakutumia fursa vizuri.Utawabebaje sasa!
Kwani yule wa Tunduma aliepataa kura 5 alisaidiwaje na kamati?ni kweli kuna nyakati inakuwa ngumu kumsaidia mtu hususani yule aliyeshindwa kabisa kubebeka
Jamaa hashauriki wasaidizi wake waliojaribu kumrekebisha anawatumbua'Kilichonisikitisha' zaidi ni kwamba inakuwaje hata 'Wasaidizi' wake tu 'Taarifa' kama hii wanashindwa kuwa nayo hadi Mheshimiwa 'anakosea' hivi?
Acha uongo, mm si timu JPM lakini Madaraka yupo Butiama siku zote ama nyingi. Ndiye msimamizi wa mji pale.Madaraka anaishi Canada na,
Makongoro anaishi Arusha.