Rais Magufuli: Makongoro na Madaraka Nyerere mnaishi Butiama lakini wajumbe wamewapa kura 5 na 2, Tungewasaidiaje?

Acha uongo, mm si timu JPM lakini Madaraka yupo Butiama siku zote ama nyingi. Ndiye msimamizi wa mji pale.

Makongoro ndie anatembea tembea..
Mkuu kwetu Butiama na nimekulia huko na hata shule nimesoma huko.

Acha ligi ya kipuuzi.
 
Wale waliokuwa washindi wa nne wengine kura sita ilitokea muujiza au[emoji848]
 
Kwani hao ambao hawakushinda kama Gwajiboy na yule wa Shinyanga kawasaidiaje na Kuwaitis has kama wagombea? 😳

MNAFIKI haachi asili.

 
Magufuli "sio mnafiki" wakuu, alishasema mambo mengine inategemea siku hiyo kaamka vipi. Ni ukweli pia ana watu wake. Kumbukeni pia kule kwenye lichama lao (sijui wako milioni ngapi) kuna sauti moja tu hivyo hakuna wakumkumbusha kuwa mbona huyu khabari yake ni sawa na yule.
 
AMEWARUSHIA DONGO TU HAO. MBONA KUNA WENGINE WALIPITISHWA AKAWAKATAA NA KUMWEKA ANAYEMTAKA? HAPA INAONEKANA RAIS HANA NIA YA HAWA WATOTO WA NYERERE KUSHIKA NAFASI ZA UONGOZI SERIKALINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…