Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Uonevu wa hali ya juu sana yaani nchi hii ni hatari sana
 
Reactions: BAK
Kuongea tu mmejaaliwa. Kuverify mnachokisema, sifuri. Kelele nyingi, milioni 400, ukiambiwa let's ushahidi, hakuna. Ndio maana wabunge wenu wengi wamepigwa ban bungeni kwa kuropoka tu bila ushahidi. Na huko ndio udhaifu alioutumia Lowassa mpaka mkampa kugombea urais baada ya kuwaambia watu kibao toka CCM watanifuata. Nanyi bila verification, mkaingia mkenge. Mkasubiriii, mkaishia kumpata Sumaye, Mgeja na Msindai. Bado hamkupata somo, akawaambia ataingia ikulu asubuhi, mkaamini. Mkapigwa chini. Akaibuka, nimeibiwa. Bila ushahidi mkaanza, tumeibiwa tumeibiwa. Mkaenda ICC kwa mbwembwe, mkarudi kimya kimya! Ndugu yangu BAK, bila verification mtaongea sana, but in vain. The truth will prevail.
 
Mjadala kama huu hauna maana, inajulikana na kila mtu kuwa mkuu wa kaya mwongo. Nashauri tujadili issue zingine mfano maslahi ya watumishi wa umma hasa annual increment ambazo mpaka leo anadai eti watumishi hewa, wakati ni mzugaji mkubwa.
Afadhali ndugu yangu umefupisha mada kwa maelezo ya kutosha.[emoji106] [emoji106]
 
Mjadala kama huu hauna maana, inajulikana na kila mtu kuwa mkuu wa kaya mwongo. Nashauri tujadili issue zingine mfano maslahi ya watumishi wa umma hasa annual increment ambazo mpaka leo anadai eti watumishi hewa, wakati ni mzugaji mkubwa.
Hivi anajua kama tuna kula nyasi? Na anadhani 9 mill.ni fedha ndogo? Angejua kama tunapokea laki 2 angeongeza! Nimechaka kusubili nyongeza.
 
Bwana mdogo tulia....maana Magufuli hamtamuweza mtabaki kupwayaya tu mitandaoni....hivi dikiteta mnamfaham au mnakalikishwa na viongozi wenu wa ufipa...?

Kikwete mlimuita dhaifu haya anekuja the strong man Magufuli mnamuita dikiteta hamnazo nyie....
 
Milioni 9.5 kwa mwezi.... Ni mshahara wangu kwa miaka 2.
 
Wadau kipindi mkulu yupo mapumzikoni Chato mwaka jana aliahidi akirudi Dar angeonyesha salary slip yake ili watanzania tujue analipwa shilingi ngapi.

Sasa nadhani sababu ya majukumu mengi amesahau, nlikua nawaomba wasaidizi wake wamkumbushe mkulu ili watanzania tujue mkuu wetu analipwa shilingi ngapi. Cha kushangaza ni kwamba tunaujua mshahara wa Rais wa marekani lakini wa Rais wetu hatuujui.
 
Ipo shughuli maana waona aibu ujue ni dhuluma
 
Mimi ninayo mbona unataka nikutumie kwa njia gani.
 
Mmh haya ili kama ukiweza hili potezea tu kwasababu za msingi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…