Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Vijana wa lumumba watakenua meno tuNataman kucheka lakini najishangaa kabisa sijui ni nani anaedanganywa hasa na ili iweje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa lumumba watakenua meno tuNataman kucheka lakini najishangaa kabisa sijui ni nani anaedanganywa hasa na ili iweje
Uonevu wa hali ya juu sana yaani nchi hii ni hatari sanaNi uongo mkubwa ndiyo sababu ameshindwa kutimiza ahadi yake. Alikuwa hata salary slip hajaiangalia, hivyo baada ya kuiangalia kagundua kauli yake ilikuwa ya uongo ndiyo sababu hizo salary slips zimeota mbawa. Mshahara wake kwa mwaka ni 400 million na hakatwi kodi.
Ziko wapi zile salary slip za Mkuu walizopewa clouds 360 kutuonyesha mkuu anakula Mill 9 kwa mwezi?
Kuongea tu mmejaaliwa. Kuverify mnachokisema, sifuri. Kelele nyingi, milioni 400, ukiambiwa let's ushahidi, hakuna. Ndio maana wabunge wenu wengi wamepigwa ban bungeni kwa kuropoka tu bila ushahidi. Na huko ndio udhaifu alioutumia Lowassa mpaka mkampa kugombea urais baada ya kuwaambia watu kibao toka CCM watanifuata. Nanyi bila verification, mkaingia mkenge. Mkasubiriii, mkaishia kumpata Sumaye, Mgeja na Msindai. Bado hamkupata somo, akawaambia ataingia ikulu asubuhi, mkaamini. Mkapigwa chini. Akaibuka, nimeibiwa. Bila ushahidi mkaanza, tumeibiwa tumeibiwa. Mkaenda ICC kwa mbwembwe, mkarudi kimya kimya! Ndugu yangu BAK, bila verification mtaongea sana, but in vain. The truth will prevail.Ndiyo matatizo ya kuwa na akili finyu. Dikteta uchwara alikanusha kwamba mshahara wake si $192,000 kwa mwaka ambazo ni juu kidogo ya milioni 400 kwa mwaka na pia hakatwi kodi.
Sasa kama aliahidi hivyo mbele ya kadamnasi na kushindwa kutimiza ahadi yake basi kwa mara nyingine tena alilidanganya Taifa kama ilivyo kawaida yake ya kusema uongo.
Afadhali ndugu yangu umefupisha mada kwa maelezo ya kutosha.[emoji106] [emoji106]Mjadala kama huu hauna maana, inajulikana na kila mtu kuwa mkuu wa kaya mwongo. Nashauri tujadili issue zingine mfano maslahi ya watumishi wa umma hasa annual increment ambazo mpaka leo anadai eti watumishi hewa, wakati ni mzugaji mkubwa.
Hivi anajua kama tuna kula nyasi? Na anadhani 9 mill.ni fedha ndogo? Angejua kama tunapokea laki 2 angeongeza! Nimechaka kusubili nyongeza.Mjadala kama huu hauna maana, inajulikana na kila mtu kuwa mkuu wa kaya mwongo. Nashauri tujadili issue zingine mfano maslahi ya watumishi wa umma hasa annual increment ambazo mpaka leo anadai eti watumishi hewa, wakati ni mzugaji mkubwa.
Bwana mdogo tulia....maana Magufuli hamtamuweza mtabaki kupwayaya tu mitandaoni....hivi dikiteta mnamfaham au mnakalikishwa na viongozi wenu wa ufipa...?Akili yako ndipo ilipoishia hapo. Huyo dikteta uchwara nchi imeshamshinda sasa kabaki kuropoka tu. Anatoa ahadi hadharani, "Baada ya mapumziko yangu Chato nitaweka salary slip yangu hadharani ili kuthibitisha kwamba mshahara wangu ni milioni 9.5" baada ya kugundua kwamba kalidanganya Taifa huyu mwenye kawaida ya kusema uongo kaamua kuuchuna tu.
Ipo shughuli maana waona aibu ujue ni dhulumaWadau kipindi mkulu yupo mapumzikoni Chato mwaka jana aliahidi akirudi Dar angeonyesha salary slip yake ili watanzania tujue analipwa shilingi ngapi. Sasa nadhani sababu ya majukumu mengi amesahau, nlikua nawaomba wasaidizi wake wamkumbushe mkulu ili watanzania tujue mkuu wetu analipwa shilingi ngapi. Cha kushangaza ni kwamba tunaujua mshahara wa Rais wa marekani lakini wa Rais wetu hatuujui.
Mmh haya ili kama ukiweza hili potezea tu kwasababu za msingi kabisaWadau kipindi mkulu yupo mapumzikoni Chato mwaka jana aliahidi akirudi Dar angeonyesha salary slip yake ili watanzania tujue analipwa shilingi ngapi. Sasa nadhani sababu ya majukumu mengi amesahau, nlikua nawaomba wasaidizi wake wamkumbushe mkulu ili watanzania tujue mkuu wetu analipwa shilingi ngapi. Cha kushangaza ni kwamba tunaujua mshahara wa Rais wa marekani lakini wa Rais wetu hatuujui.