Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshahara wa Rais anajipangia au anapangiwa....kama anapangiwa na iwe Sheria,kanuni au mwongozo wowote ulio rasmi inatakiwa ufahamu Marais wote waliowahi kuongoza Nchi hii walilipwa hivyo!
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Hayo ni maigizo ya Uongozi ambao umeshakaukiwa mawazo mapya ya maendeleo ya KWELI.
Kama hao wafanya kazi waliboronga, walipaswa kuchukuliwa hatua za kisheria/kinidhamu na mamlaka iliyowaajiri, kwa mujibu wa mikataba yao kwanza. Kinyume chake taratibu za uhamisho zatakiwa kuheshimiwa na kufuatwa. Ndio utawala BORA, vinginevyo ni unyapara.
TUKTA mko wapi ? Au ndo bado mnashangilia kuzawadiwa MBUNGE?
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Rais hata asipolipwa mshahara pesa atakuwa nayo tu kwani ana uwezo wa kumpigia Gavana wa BOT hata saa nane usiku akamwambia niletee dola milion 3 au zaidi anamtelea mda huo huo vyanzo vyama kupata pesa kwake ni vingi mno
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Uzalendo hapa unaingiaje kwa mfano?
 
Mi binafsi hua siamini kabisa hizo sound za mshahara wa mkulu
Haiwezekani mtu alipwe mil 15, eti rais wa nchi alipwe mil9 tu
Hizi ni kamba wanaoaminishwa mataga!
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Lini Bunge limepitisha sheria ya kupunguza mshahara na marupurupu ya Rais maana mshahara wake upo Katiba
 
Zamani kidogo nakumbuka INGO niliyokuwa nafanya nao kazi waliamua kupunguza ‘salary’ na mpunga mrefu wakauhamishia kwenye posho flani hivi ambayo ilikuwa haiingizwi wakati wa kucalculate PAYE.

Ukiachana na hiyo figure aliyotaja Magu, huyu anavuta hela ndefu sana kwanza ambayo hata haitumii kununulia hata chumvi tu. Wabunge (wengi) pesa zao zina matumizi mengi kwenye majimbo yao
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Huyu mzalendo ni mtamu aisee.
Pamoja na kupata 9 m tu bado anagawa hovyo maburungutu ya mamilioni huko mtaani. Sidhani kama huwaga zingine anajimegeaga mwenyewe - kama watu wanasema hivyo ni wazushi tu!

Nasikia na yale magari 30 anayotumia kwenye misafara yake anaya mantain mwenyewe 100%.
Pango ikulu anajilipia, hata ma house boys/girls, gardeners anawalipa mwenyewe hakiyanani.
Nguo pia anajinunulia huyu mzalendo. Ada za watoto analipa kutoka mfukoni mwake nasikia.
Halafu watu wanadai eti kamkataza CAG asim audit - watu wanapenda sana kumzushia kashfa mzalendo huyu bila za sababu za msingi!
 
Hivi kuna hekima gani katika hili suala la kuwawekea maisha mazuri viongozi/watawala waishi maisha ya kifahari tofauti na wananchi wengine tena unakuta hizo gharama za hayo maisha ya kifahari wanazibeba wananchi ambao wengine unakuta wanakula kwa shida na kukosa hela hata za matibabu.
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Milioni 9 za nini wakati kila hiduma anapatiwa bure? Na hata akistaafu anapewa huduma., karibu milioni 100 na kitu kwa mwaka nchi maskini kama Tanzania
 
Mleta post,
Mwambie akuongezee mshahara.
Mil 9 ni nyingi sababu huo mishahara hauguswi ninavyofahamu pale ikulu kuna bajeti hivyo huo mishahara upo tu bado kuna maposho lukuki pale.
 
Mishahara iakisi kazi anazofanya mtu na pia izingatiwe kwamba kuna benefits nyingine kwenye maoffice zinazozidi mshahara wa mwezi
Na pia uzingatie changamoto anazopitia huyo mtu, usiangalie tu benefits. Kwa jinsi Rais wetu anavyotupambania ilitakiwa alipwe zaidi ya mara kumi ya mshahara wake wa sasa.
 
Tr
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
TRUMP yeye alisama hataki msahahara kabisa lakini madudu ambayo anayafanya ya kmuingizia kipato ni kufuru hata kwa mungu
 
Back
Top Bottom