Ndio maana aliiba ile rambirambi. Ajiongezee tu mshaharaNaweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana, sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.
Anko Magu analipwa mil. 9 tuu. Kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12...
Sijarogwa mimiKwahiyo Baba swalehe wewe humwamini mkuu wa nchi?
Na pale hazina kupitia kwa mpwa wake je?Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana, sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.
Anko Magu analipwa mil. 9 tuu. Kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12...
MuongoNaweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana, sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.
Anko Magu analipwa mil. 9 tuu. Kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12...
Babu jinga inama ufikiri.Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana, sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.
Anko Magu analipwa mil. 9 tuu. Kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12....
Toa hoja sio matusi punguani weye .Babu jinga inama ufikiri....
Kwani kuna anayetegemea awe perfect? Uhalisia ni kwamba anakosea na yapo anayopatia. Nimeeleza hapa kuwa nyie mnachokifanya ni chuki pengine hamjajitambua kuwa mnachuki,siku zote huwezi kumsifia au kumueleza kwa uzuri tu yule unayemchukia.Mazuri yakiwa mengi hufunika mabaya lakini sasa mabaya ni mengi kuliko mazuri ndiyo maana mazuri hayaonekani kwa haraka, mfano hayo mazuri ni kuleta maendeleo kwenye SGR bwawa la umeme flyover ununuzi wa Ndege nk lakini huko napo kuna ufisadi mkubwa mno...
KATIKA MSHAHARA WAKE HUYO, ANANINUA NINI CHA KUTUMIA. nguo, chakula, kodi ya nyumba, usafiri AMS ?. Shangaa malupulupu in zaidi ya mshaharaNaweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana, sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.
Anko Magu analipwa mil. 9 tuu. Kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.
Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini, Mheshimiwa Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA baadae kubadilishiwa sekta, watumishi hao ambao Rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi. Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.
Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi, nashawishika kusema kuwa Rais Magufuli ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Pengine mshahara wake ni huo pamoja na wastaafu.Hii ya kusema analipwa mshahara shilingi milioni tisa sidhani kama ni kweli, hapa tunalishwa tu matango pori.
Kikwete alitoka akilipwa milioni 34 na marais wastaafu wakilipwa asilimia 80 ya hiyo kwa mwezi.
Sasa haiwezekani eti leo hii hao marais wastaafu wawe wameshushwa eti nao wawe wanalipwa milioni 7.2 ambayo ndio asilimia 80 ya hiyo milioni tisa ambayo rais Magufuli anadai kulipwa kwa mwezi.
Tatizo sisi waafrika mtu akishabahatika kuwa rais yeye anajua watu wote anaowatawala ni wajinga tu ila yeye tu ndiye mwenye akili. This is very foolish.
Hapa tulipigwaRais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii
==========
Kutoka Gazeti la Mwananchi: