Mkuu sasa Mimi na vyeti vyangu fake I can read WB reports na reports za bank kuu na kuzielewa wewe mwenzangu unasubiria Magu akulishe uongo,huoni Kama una hali mbaya ndugu yangu?Nyinyi vyeti feki amuishi sababu za uzushi kumpinga JPM kisa tu aliwatumbua.
Jiwe ndio tatizo na ndio chanzo cha yote haya na ndio maana hakuna anaewajibishwa wala kuwajibika.Wewe sijui unahitaji kufunzwa au pengine hata hufundishiki kutokana na uwezo mdogo!
Rais ameongea maneno ya busara na hekima, wewe unakuja kuyatia unajisi.
Maneno ya Rais yamekaa vizuri, lakini tatizo kubwa la Rais Magufuli ni kunena tofauti na kutenda tofauti. Ja pili ni namna ya kuwadhibiti wanaojipendekeza kwaje au Serikali kwa kuharibu taratibu na sheria, hasa jeshi la Polisi. Jeshi la Polisi linatakiwa kudhibitiwa. Linaweza kutuharibia mchakato wa uchaguzi, linaweza kusababisha vurugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpuuzi kweli,umemaliza kunikosoa maoni yangu hapo juu ona sasa wewe huu uhalo ulioandika? Huwa unatumia kichwa cha wapi wewe?Kwa sababu inaonekana Polisi hawawezi kuwadhibiti greenguards, wananchi ni muhimu kuingilia kati na kuwadhibiti hawa magaidi wanaojiita greenguards.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama unajifunza kukomenti!! kukimbia ni kushindwa. Habari za huko sayari ya maazi? Nimesikia huko Covid 19 haipoila huku kwetu duniani Covid 19 ipo kila nchi.Tena umshukukuru sanaa maana alienda kutafuta ufumbuzi vinginevyo ingetukosa COVID19 basi ingetuua njaa
Tano tena kwa John Pombe Magufuli kiboko ya COVID 19
Uchafu muufanye wenyewe, alafu jilio chenu kisikike mwisho wa dunia. Vijana wengi waliofanya fuju wanatambulika na vijana wa Chadema Hai, Moshi na Arusha. Hii ilikuwa ni mipango ya chadema kutafuta kura za hurumaHata siku moja huwezi kumsikia magufuli anakemea uchafu huu maana ndio mtaji wake
View attachment 1537071
Jui km unajielewa au na ww ni sawa na maccm mengineUchafu muufanye wenyewe, alafu jilio chenu kisikike mwisho wa dunia. Vijana wengi waliofanya fuju wanatambulika na vijana wa Chadema Hai, Moshi na Arusha. Hii ilikuwa ni mipango ya chadema kutafuta kura za huruma
Alafu wewe uliebaki ukafa kwa coronaKama yeye alivyokimbia Corona akaenda kuishi burigi karibu 53 days!
Mama unajifunza kukomenti!! kukimbia ni kushindwa. Habari za huko sayari ya maazi? Nimesikia huko Covid 19 haipoila huku kwetu duniani Covid 19 ipo kila nchi.
Kauli ya Rais kwa watu wanaojiteka na kujiumiza, kisa siasa!Hata siku moja huwezi kumsikia magufuli anakemea uchafu huu maana ndio mtaji wake
View attachment 1537071