Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

Sio kwamba wewe ndo mtoto,we we ni nani humu jf hadi umpangie mtu namna ya kufikiri,wewe umefikiri hivyo na mimi acha nifikiri ninavyoamini,achana na Mimi kijana ,Fanya mambo yako ebo!
 
Wewe sijui unahitaji kufunzwa au pengine hata hufundishiki kutokana na uwezo mdogo!

Rais ameongea maneno ya busara na hekima, wewe unakuja kuyatia unajisi.

Maneno ya Rais yamekaa vizuri, lakini tatizo kubwa la Rais Magufuli ni kunena tofauti na kutenda tofauti. Ja pili ni namna ya kuwadhibiti wanaojipendekeza kwaje au Serikali kwa kuharibu taratibu na sheria, hasa jeshi la Polisi. Jeshi la Polisi linatakiwa kudhibitiwa. Linaweza kutuharibia mchakato wa uchaguzi, linaweza kusababisha vurugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ndio tatizo na ndio chanzo cha yote haya na ndio maana hakuna anaewajibishwa wala kuwajibika.
 
Kwa sababu inaonekana Polisi hawawezi kuwadhibiti greenguards, wananchi ni muhimu kuingilia kati na kuwadhibiti hawa magaidi wanaojiita greenguards.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpuuzi kweli,umemaliza kunikosoa maoni yangu hapo juu ona sasa wewe huu uhalo ulioandika? Huwa unatumia kichwa cha wapi wewe?
 
Tena umshukukuru sanaa maana alienda kutafuta ufumbuzi vinginevyo ingetukosa COVID19 basi ingetuua njaa
Tano tena kwa John Pombe Magufuli kiboko ya COVID 19
Mama unajifunza kukomenti!! kukimbia ni kushindwa. Habari za huko sayari ya maazi? Nimesikia huko Covid 19 haipoila huku kwetu duniani Covid 19 ipo kila nchi.
 
Hata siku moja huwezi kumsikia magufuli anakemea uchafu huu maana ndio mtaji wake

View attachment 1537071
Uchafu muufanye wenyewe, alafu jilio chenu kisikike mwisho wa dunia. Vijana wengi waliofanya fuju wanatambulika na vijana wa Chadema Hai, Moshi na Arusha. Hii ilikuwa ni mipango ya chadema kutafuta kura za huruma
 
Tutachagua hawa walofanya matendo haya
1. Watu kupigwa risasi
2. Watu kupotea
3. Kutekwa na kuteswa
4. Kuokotwa mitaani na kwenye fukwe za baharini
 
Uchafu muufanye wenyewe, alafu jilio chenu kisikike mwisho wa dunia. Vijana wengi waliofanya fuju wanatambulika na vijana wa Chadema Hai, Moshi na Arusha. Hii ilikuwa ni mipango ya chadema kutafuta kura za huruma
Jui km unajielewa au na ww ni sawa na maccm mengine
 
Mr president bwana!!
Hivi mbona hotub zake zote hukimbilia kwenye kuomba tukinde amani?
Ukiona anae lia sana msibani kwako ndie mchawi.

Vyombo vya dola vina tumika sana na Ccm kuvuruga amani ya nchi hii. Mr President analijua hilo kwa asilimia 100℅+ lakini hakemei. Yeye ni kutoa kauli za kuhadaa tuu kwamba ana penda amani.

Siku za nyuma taasisi za kidini zilikatazwa kuongelea mambo ya siasa leo kaingia madhabahuni kuhubiri siasa. What kind of leadership is this.. Na TAG wanajiona wako sahihi??
 
Mama unajifunza kukomenti!! kukimbia ni kushindwa. Habari za huko sayari ya maazi? Nimesikia huko Covid 19 haipoila huku kwetu duniani Covid 19 ipo kila nchi.

Hakukimbia alikua busy kutafuta suluhu ya COVID gonjwa lililoishinda dunia, na alikuja na suluhu kwamba COVID ipo na inabidi tuishi nayo kama magonjwa mengine huku tukimwomba Mungu na kuchapa kazi.

Sasaivi huku kwetu maiti hazijatapakaa barabarani kama mlivyokua mnatutisha. Tufata ushauri, tunachemsha tangawizi na malimao bila kusahau kupiga nyungu
Nyie bado mko locked?

Crimea sisi tulishagoma kutumia za kuambiwa peke yake
 
Dah!! Mtuhumiwa kawa hakimu na Jela anajenga mwenyewe,, zaidi ya Pablo Escobar
 
Back
Top Bottom