Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

Rais Magufuli: Msichague wanasiasa wanaohubiri chuki, vurugu zikitokea wao watakimbia kwenda kuishi kwingine

Kutekwa, kulawitiwa, kunyongwa na kuuwawa, kubambikiwa Kodi, kubambikiwa kesi hewa
Sasa, Sasa baaasi

Hayo masgr, tupa kule. sisi Tunataka furaha siyo masima go ya vitu.
Furaha ya Watanzania nikua na afya njema nakupata elimu bure ndio maana Raisi wetu mzalendo akaamua kujenga vituo vingi vya afya nakuhakikisha kuna dawa zakutosha hii ndio furaha muhimu kuliko zote ,Acheni kutumika vibaya
 
Dereva alikuwa anamuuguza lissu na wamerudi wote kutoka belgium. Na sasa hivi yupo kwenye msafara kama dereva wake tena..
Leta upuuzi mwingine ujibiwe ewe young chakubanga
Acha hasira ,pigeni kampeni za kistarabu sio kutoa matusi tunataka mtuambie mkipewa nchi mtafany nini sio matusi Jpm kawashika maana mtaongea nini ambacho jpm hajakifanya
 
Thibitisha
Wewe siunawaona hawawezi kuongea bila kuwataja mabeberu mfano kwenye swala la corona walijifungia ndani nakuzimbia nchi za magharibi wasitoe mikop kwa Tanzania, leo hii hao hao waliojifungia wapo kwenye maandamano, tumchague JPM na CCM kwa ujumla acha kutumika vibaya wewe
 
Acha hasira ,pigeni kampeni za kistarabu sio kutoa matusi tunataka mtuambie mkipewa nchi mtafany nini sio matusi Jpm kawashika maana mtaongea nini ambacho jpm hajakifanya
Acha kupanua domo lako kubwa.. ewe gwandumi,umeuliza kuhusu dereva nimekujibu mwambie sirro na vijana wake wakamchukue na leo wapo hapa moshi!?
 
Una elimu gani we pimbi?
Sina elimu yoyote ndungu yangu ila nimeweza kutambua Tanzania Tunahitaji Raisi Atakae ifanya Tanzania ijitegemee kiuchumi na simwingine ni huyu alieamua watoto wakitanzania wasome bure, nihuyu anaejenga miundo mbinu kila kona, nihuyu anaetaka tuwe na umeme wakutosheleza ,nihuyu anaetumia nguvu nyngi kulinda raslimali za Watanzania
 
Kila siku mnatuimbia pambio za amani huku maisha ya watanzania yako hoi,miaka 50 mliokaa madarakani mmefanya nini,Ccm ndio janga kwenye nchi hii.
 
Back
Top Bottom