Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Tumtimue!Haguswi kabisa
Ngoja ndg yko ysmkute ndiyo utajua!Kuna tofauti kati ya kupotea na kujipoteza bwashee!
Ili visichafuliwe, inabidi vionyeshe kuwa havishiriki kufanya vitendo hivyo.Hapo sawa kabisa maana vyombo vyetu vinachafuliwa hovyo
Mfano ni CAG bwashee mrangi......hapo Ufipa mkishirikiana na Zitto mkazusha kapotea kumbe anakula tende huko Kisarawe!Ngoja ndg yko ysmkute ndiyo utajua!
Opps nmejisahau, kumbe nyie malaika hampotei, hamfi, mnaishi mileleee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhSaid Kubenea aliposema Ben Saanane anaonana nae kwenye vijiwe vya kahawa, CHADEMA badala ya kufurahi wakakasirika, wakataka kumfukuza kwenye chama.
Halafu Zakaria angekuwa muhalifu kwanini asikamatwe na polisi badala yake akamatwe na tiss?Je,TISS wanaruhusiwa kukamata wahalifu?Walienda kwa Zakaria wakakutana na moto ikabidi wajitambulishe bila kupenda😂😂