Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Mzalendo uchwara umesahau Joseph hapo kwenye majina yake.
 
Mo Dewj,Roma,Mdude,Ben saanane,Azory Gwanda na wengine hakuna majibu ya maana!Shame on this gvt!
Tukubaliane pasipo kukubaliana ajenda ya utekaji imekaa kisiasa na kibiashara zaidi kuliko tunavyodhani.
Ndio maana pengine Serikali imeona ikemee Mara moja upuuzi huo kwa kutoa kauli ambayo wengine wanadhani ni mzaha.
Leo hii sokoni kuna bidhaa zimejibrand kwa ufupisho wa jina la mtu uliyemuongeza kwenye orodha yako.
Anyway kila mtu na mtazamo wake ilimradi tusivunje sheria za nchi.
 
Badala ya rais kuviwajibisha vyombo vyake na kukemea matukio ya utekaji,yeye ndio kwanza anatisha wananchi,shame on him!
 
Huyu mzee nilisema anawazimu hatukosei!
Wanaosema Azory Gwanda alichukuliwa na watu waliojitambulisha kwa wanausalama wasiseme hivyo hadi wawe na ushahidi!!

Tunaongozwa na mtu mwenye shida dhahiri!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni akimbilie China kwani wana mahela mengi. China anaikopesha hadi Marekani. China nao si wajamaa uchwara kama waTz? Awafate hao.
 
Nani anawezatembeza gari Mchana without plate namba
Je ambao wanatembeza gari bila plate namba tuwafanyeje tunako enda siyo kuzuri mananikumbussha wale wachanjaji watu huchukua sheria mkononi na kuwapiga mawe ''Hapa tunaambiwa kwenye ulinzi wote tukasome jitegemee sekondari ''remember about thinking outside the box and the use of silent language''
 
Sasa Bashite alienda kufanya utekaji Clouds akiongozana na Police usiku,, halafu wewe ukamtetea na kumwambia apige kazi! .... Nyingine police walisema Tito tumemkamata, Mwingine akasema hatujamkamata,, hapo hapo wameenda kumtafuta vituo vyote haonekani!!

Yule Zakaria wa Tarime walitaka kumteka , akawazidi nguvu ,mara kucheki ni watu kutoka vyombo vyetu vya ulinzi na usalama,, halaf wakamgeuzia kesi eti aliwashambulia maafisa wa serikali.. Shame!!!

Sasa hapo utawezaje kutenganisha watekaji na vyombo vya ulinzi na usalama? ... kumbuka uliwahi kusema "watz sio wajinga"..Jpm uache ufala aisee! Au unataka mpaka uje usikie 'tinye' zako zimetekwa ndio ufaham kuwa watekaji ni genge ambalo ndani yao Kuna watu ambao wanatoka ktk majeshi yetu ya ulinz na usalama plus TISS?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo. Yaani sasa hivi kama mtu una uwezo wa kununua bastola usisite. Kama ni hoehae kama sie tunaoishi maisha ya kuunga unga nunua hata switch blade. Kuna mashetani yenye roho mbaya sana yako madarakani, tusipopambana yatatumaliza.
 
Wanataka kutuziba midomo ili serikali ionekane iko Safi

Sent using Jamii Forum's by simcard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…