Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Kitambulisho cha chuo unacho?Mimi Ni mwanafunzi, nilikuwa natumia boom pack nikalazimika ku renew SIM card na ndiyo ikawa MWISHO wa vifurushi vya mwanachuo. Napiga simu customer care Mara zote tano kwa siku tofauti haipokekewi nikaamua kuipumzisha hiyo SIM card kwa sababu huduma ya Boom pack pekee ndiyo ilikuwa inanivutia hapo TTCL
NdiyoKitambulisho cha chuo unacho?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544]Halotel kwann hawana kauli nzur mteja ukiishiwa salio hawajui kukwambia vizur
Utaskia tu "huna salio ongeza salio kufanya maswaliano" alaf wanakata Kwanza huyo Dem mwenyewe anaongea kibabe warekebishe hap tu
Karibu inboxNdiyo
Nakusubiria inbox mkuuNdiyo
TTCL Dakika Saba simu inaita tu haipokekewi. Customer service hamna kitu hapoView attachment 1569506
Shukrani sana mama DNimefuatilia comments nyingi kwenye hii thread nilichogundua ni kwamba matatizo yatokanayo na huduma za TTCL ni mengi ila nadhani kuna uwezekano matatizo yote yanasababishwa na kitu kimoja au viwili tuu. Ni muhimu TTCL watambue shida inayopelekea kuzalishwa kwa haya matatizo lukuki ili wayape dawa ya kudumu.
Tunaweza kulalamika hapa tukatoa mapendekezo tele lakini kama hayatagusa mzizi wa matatizo tutalalamika bure miaka yote na kumaliza mabudle yetu na kuchakaza sim zetu bila suluhu
Ila kitu kimoja nimefurahi kuona uzalendo wetu watanzania, bado tunaipenda kampuni yetu, bado tunatamani kupata huduma zake na bado tunaamini wakibadilika wataweza kutoa huduma bora. TTCL waitumie hii nafasi kuwaonyesha watanzania kweli wamewasikia na wanaweza
Waziri Waziri Kindamba,
Azania alumni 1999,
Mtaalam wa IT na kada wa Chama Tawala,
Wacha niishie hapa kwanza
[emoji51][emoji51][emoji51]acha kumdhalilisha kiongozi mkuu.KIPENZI CHA WAMAMA ARUSHA-MBEYA-TANGA-KAGERA-DSM....JAMAA KAJAZA VIMADA WAKE !RUSHWA YA NGONO IPO NJE NJE
Rudi Nyumbani KumenogaTTCL iko hoi, sisi tumejiondoa kwenye huduma zao
tulijiondoa awali, tukarudi, still mmeshindwa ku meet our demands, last month kuna siku kama mbili hivi hakukuwa na internet kabisaRudi Nyumbani Kumenoga
Ni kweli, maana siku hiyo TTCL atakuwa anafanya marekebisho kwenye tower zao ili wateja muanze kupata kitu cha 5G.tulijiondoa awali, tukarudi, still mmeshindwa ku meet our demands, last month kuna siku kama mbili hivi hakukuwa na internet kabisa
Muda si mrefu pataboreshwa tuTTCL iko hoi, sisi tumejiondoa kwenye huduma zao
Kwanini unataka moderator aufute huu uzi. Mmeshajirekebisha au mkatatua changamoto za mtandao wenu? Mnaihujumu TTCL wakati ndo ingetakiwa iwe inainyemelea Vodacom na Tigo sasa hata hamueleweki. Kama shirika la mtu binafsi ambalo halina mtaji yani.Mods futeni uzi huu
[emoji51][emoji51][emoji51]Kwanini unataka moderator aufute huu uzi. Mmeshajirekebisha au mkatatua changamoto za mtandao wenu? Mnaihujumu TTCL wakati ndo ingetakiwa iwe inainyemelea Vodacom na Tigo sasa hata hamueleweki. Kama shirika la mtu binafsi ambalo halina mtaji yani.