Uchaguzi 2020 Rais Magufuli muombe Rais Mstaafu Kikwete akusaidie kupiga kampeni

Sio mombasa Wala turkana,Ila Ni maeneo ya baridi,sisi sio salama Sana sema takwimu zinafichwa
Ameishinda Covid19 kwa mbinu aizotumia kupambana nayo
Unaona Kenya wanavyoteseka kwani wao si nchi ya tropical?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Ingependeza kitumie jina hili jioya Chama cha Wasanii (CHAWA)


TANU/ASP [emoji1732] CCM [emoji1732] CHAWA [emoji188][emoji188]
 

Toa huu ujinga let them phase out nchi ina vijana hakuna ujinga tena, mbele kwa mbele nyuma pancha, mnaona Donge. Hakuna maisha ya ubwete, ubepari ndio huo unakomaa na kukimbia kwa kasi.
 
Magufuri hata asipopiga kampeni atashinda tu... Hamna mtu anayeweza kuwapa chadema nchi. Mbona haitaji hata elimu ya chuo kikuu kuelewa hilo. Watu wengine vichwa vyenu vina nini? Mbona hamuelewi?
Kwani hawo waliotoka na kuachia nchi walitakakutoka kwa hiari yao?

Mfano albashie,James, na wengine.

Kiufupi hata ccm haitawachia nchi kwa uchaguzi huru lakni mtawachia bila ya mategemeo mliotegemea.

Wewe ukipanga Mungu hupangua.
 
Toa huu ujinga let them phase out nchi ina vijana hakuna ujinga tena, mbele kwa mbele nyuma pancha, mnaona Donge. Hakuna maisha ya ubwete, ubepari ndio huo unakomaa na kukimbia kwa kasi.
Vijana huwahitaji wazee wenye hazina ya uzoefu na maarifa.
 
Mara paap kuelekea ukingoni mkwere anasapoti ukweni.
 


Ukiielewa hii picha utapata majibu ya kwanini wazo lako halifai wakati huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…