mbuyake
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 293
- 510
Ni mawazo yako yapaswa kuheshiwa,lakin pia nikuulize,Ni Marais wangapi wamefuata sheria hizo na katiba na Kila siku tukasikia meremeta,epa ,dowans ,richimond na kashifa nyingi nyingi, katika katiba hiyo na haki za vyama pinzani,hatukusikia wamenunua ndege hata Moja zaidi ya kubinafisisha hata ndogo tulizokuwa nazo,pia ukumbuke hao hao wapinzani wengi wa viongozi wao wa juu kabisa tumewapa imani mara nyingi baada ya muda unasikia flani kaenda kuunga juhudi kwenye chama tawala,hivyo upinzani tz Ni pitio la kujulikana ili upate teuzi.kingine hakuna maadiliko ya kweli yasiokuwa na maumivu,Ni ngumu kutengua taratibu ambazo wachache wameziweka Kwa masilahi yao halafu uzitengue usipate upinzani,hivyo magu kapambane na mengi ambayo kimsingi yamempatia ushujaa japo huwezi elewa Kama ukiwa na akili za upinzani