Rais Magufuli na historia isiyofutika

Rais Magufuli na historia isiyofutika

Ni mawazo yako yapaswa kuheshiwa,lakin pia nikuulize,Ni Marais wangapi wamefuata sheria hizo na katiba na Kila siku tukasikia meremeta,epa ,dowans ,richimond na kashifa nyingi nyingi, katika katiba hiyo na haki za vyama pinzani,hatukusikia wamenunua ndege hata Moja zaidi ya kubinafisisha hata ndogo tulizokuwa nazo,pia ukumbuke hao hao wapinzani wengi wa viongozi wao wa juu kabisa tumewapa imani mara nyingi baada ya muda unasikia flani kaenda kuunga juhudi kwenye chama tawala,hivyo upinzani tz Ni pitio la kujulikana ili upate teuzi.kingine hakuna maadiliko ya kweli yasiokuwa na maumivu,Ni ngumu kutengua taratibu ambazo wachache wameziweka Kwa masilahi yao halafu uzitengue usipate upinzani,hivyo magu kapambane na mengi ambayo kimsingi yamempatia ushujaa japo huwezi elewa Kama ukiwa na akili za upinzani
 
Nawakumbusha watu wadini unapomuomba mungu kuwa WANYENYEKEVU, nawakumbusha wanasiasa uongozi sio UONEVU.../

Nawakumbusha na nyie mnaopagawa na idadi maana sio ITIFAKI, kuna wengi wanakwenda ilimradi kutazama kwa kilio cha KINAFKI.../
 
Utawala wa sheria ni ule ambao haki inapatikana kwa haraka mahakamani sio kupitia tume. Huyo mtu anayelimaliza tatizo hapohapo akiondoka na asipatikane mwingine kwa haraka nani atakusaidia?
Uo utawala wa sheria ndi ule wakuunda matume ya uchunguzi..!!!! Tunacheleweshana banah si tunataka mtu ambae akikuta tatizo amalize papohapo..!! Kama anatoka na kichwa cha mtu atokenacho... sio mara unda tume alafu report inakuja kutoka baada ya miez sita bado hachukuliwi hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaukumbuka mgogoro wa CAG Profesa Assad kuhusu Tirioni 1.5 hambazo hazikuwa na maelezo kueleweka kuhusu matumizi yake hadi akang'olewa?
Ni mawazo yako yapaswa kuheshiwa,lakin pia nikuulize,Ni Marais wangapi wamefuata sheria hizo na katiba na Kila siku tukasikia meremeta,epa ,dowans ,richimond na kashifa nyingi nyingi, katika katiba hiyo na haki za vyama pinzani,hatukusikia wamenunua ndege hata Moja zaidi ya kubinafisisha hata ndogo tulizokuwa nazo,pia ukumbuke hao hao wapinzani wengi wa viongozi wao wa juu kabisa tumewapa imani mara nyingi baada ya muda unasikia flani kaenda kuunga juhudi kwenye chama tawala,hivyo upinzani tz Ni pitio la kujulikana ili upate teuzi.kingine hakuna maadiliko ya kweli yasiokuwa na maumivu,Ni ngumu kutengua taratibu ambazo wachache wameziweka Kwa masilahi yao halafu uzitengue usipate upinzani,hivyo magu kapambane na mengi ambayo kimsingi yamempatia ushujaa japo huwezi elewa Kama ukiwa na akili za upinzani
 
Hivi ina maana hakuna mazuri aliyofanya
Mbona mm syo mwana ccm lkn kna mazuri
Mengi kayafanya
Watz tusipende kuwa watu wa kulialia
Kwenye mambo ya kiutawala mambo kama haya hutokea duniani
Nilichoona na kugundua watz hatujui tunataka nini

Ova
Mbona watu wengi tuu wanaelezea mazuri aliyoyafanya.

Kuanzia TVs na Redio stations nyingi tuu wanaelezea mazuri aliyoyafnya.

Hata hapa jukwaani kuna watu wanatiririka mazuri mengii ya JPM.

Kwanini sasa watu wengine wasieleze mabaya yake.
Kama ambavyo watu wameguswa na mazuri aliyofanya.
Kuna watu pia waliguswa na mabaya yaliyotokea kipindi chake.
Na ni vizuri wakayasema ili tujifunze.
Ni vizuri wakayasema ili yasijirudie.

Tatizo ninaloliona kuna watu hawataki kusikia upande wa pili wa Shilingi.
Ukiusema huo upande wanaona kama umemuonea sana Marehemu.
 
Back
Top Bottom