Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo

Nataka nikwambie sipo na sitokuwa ila najuwa nina uwezo wa ajabu na mshukuru Mungu

Sawa ila kitendo cha kumuua Ben Saanane mliingia chaka sana ,how come mtu kuchallenge Phd kuhusu kutu za maganda ya korosho kwamba ni feki then mumuue? Then mmepata nini? Aliyesemwa na msemaji wote wametangulia ,sasa mlifanya kumuua kwa faida gani? Wote wamekwenda nyinyi mnafaidika na nini?
 
Nafuu uishie Form VI kuliko kuwa na PhD ya kuigiliza kwa mwenzio (Plagiarism). Magufuli alikopi kwa mtu mwingine Dr Y Philip.

Ni aibu mpaka kwa UDSM kwa namna Magufuli alivyopasishwa na Supervisor na Senate kupata hiyo PhD.

Ukitaka kuthibitisha maneno yangu nenda kesho Library kaiombe kuisoma, ukipewa, njoo hapa nitakutumia hata Tsh 250,000
 
Sawa ila kitendo cha kumuua Ben Saanane mliingia chaka sana ,how come mtu kuchallenge Phd kuhusu kutu za maganda ya korosho kwamba ni feki then mumuue? Then mmepata nini? Aliyesemwa na msemaji wote wametangulia ,sasa mlifanya kumuua kwa faida gani? Wote wamekwenda nyinyi mnafaidika na nini?
Mpaka sasa hujajuwa wahusika
 
Mpaka sasa hujajuwa wahusika
Yeye anadhani ni jpm ndio mwenye tuhuma na mhanga wa hiyo PhD!kumbe dogo aligusa system ya elimu nzima hadi vyuo vikuu vingekua uchi na kama taifa tungeaibika sana sana!!

Nadhani Elimination method Ili taifa lipone na aibu kuu!!

Nawaza tu!
 
Back
Top Bottom