Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo

Mheshimiwa pole kwa Kazi. Najuwa Ile furaha na bahati Kuwa kiongozi mkuu wa Taifa huwa inakufanya upende kusema umejitoa hata kufa Kwa Taifa hili ni kweli kabisa. Tunajua sio wewe tu ila kila Raia wa Taifa hili roho yake ameitoa Kwa Taifa hili tena huenda Sisi tuna sema Kwa maneno ila wapo ambao kweli wakilitetea Taifa hili walikumbwa na umauti ni wengi sana na story zao zinaliza ukizisikiliza.

Mh, Maisha ni zawadi toka Kwa Mungu na kifo hakitajwi tajwi kwa sababu kifo ni roho na roho ya mauti huwa inasikia na mara nyingi Sana shetani amekuwa akijiinua mbele za Mungu kuziita roho ambazo zinataja habari ya kifo.

Shetani anajua hata ukidondoka leo mtu wa kushika kiti atapatikana na kamwe hakuna Jambo litaenda vibaya sema tu ndio utakuwa mwisho wako wewe mwana mapinduzi na sisi kama Taifa tutatikisika hivyo hatupendi iwe hivyo.

Kiukweli unakitaja kifo mpaka SASA inakera na kutuhuzunisha sisi Raia wema maana mara "Mimi nimejitoa hata kufa kwa ajili ya Taifa" ni kweli ila je hao waliokutangulia waliapa kutumia misaafu gani? Maana is the same na wao waliapa kwa damu Jambo ambalo ni the same kama ulivyoapa wewe. SASA Jambo jipya ni lipi? Na hapa ndipo napata tabu na kujiuliza why unakitaja kifo while unaomba tuliombee Taifa na wewe tukuombee?

Mkuu, kama hujui basi Mimi nakujuza na kama utapotezea na kusema hawa ndio walewale, Mimi nasema hewala ila Leo nakwambia ukweli - Kifo hakitajwitajwi maana kinasikia na humkuta anayekitaja wakati asioudhani wala kuutarajia. Hukupewa kuiongoza nchi ili ufe au upate mabaya, umepewa kuiongoza nchi kutupeleka kwenye maziwa na asali na ukimaliza uwaachie wengine wafanye kwa sehemu yao maana huwezi maliza yote; na ukisema unataka Fanya yote utachoka sana na hatimaye hutofurahia matunda ya kazi yako. While baada ya kazi lazima ufurahie KAZI yako na kushauri utakaowaachia kijiti.

Nimekusikia tena kule Chato unasema "Kwani nikifa nitaenda na huu Uwanja wa Ndege?" nikashituka na kukumbuka niliwahi ambiwa kifo hakitajwi na ukimsikia MTU anakitaja taja basi usishangae kwa yale yatakayomkuta. Neno 'nitakuongezea miaka ya kuishi' linaendana na baraka na neno 'nitakupunguzia miaka ya kuishi' linaendana na laana.

Tafakari maneno yako ya kuwa yanaukwaza moyo wa aliekuinua na kukuketisha na wakuu maana mtesi wako shetani anayatumia kuidai roho yako kwa maana unataja neno "Kifo" mara kwa mara ktk hotuba zako na kwa kutokujuwa athari zake kwako binafsi na kwa Taifa ni kama unatutisha kuwa "Kuwa Mkuu basi ni adhabu ya kifo" wakati tunawaona wastaafu wakiishi kwa Amani na kufurahia maisha.

Kumbe basi, ili kuondoka ktk vifungo vya mawazo ya kufa ni kuishi vyema na watu wako na kujenga umoja na mshikamano wa Taifa. Unaweza kufanya mengi mazuri ila ukashindwa ishi ktk mioyo ya watu wako kwa kujenga chuki na masononeko na mwisho huzuni. Kama kiongozi, tafuta kwanza ishi ndani ya mioyo ya watu na hapo ndipo utaona utamu wa kutawala na kamwe hutochoka wala kukiwaza kifo kamwe.

Mfalme Ezekia alipokea ujumbe kutoka kwa Nabii wa Mungu kuwa atakufa na aandae mambo ya nyumba yake maana atakufa ndipo mfalme aliposikia hayo alichana nguo zake na kumuomba Mungu amsamehe na kukumbuka mema alimtendea, ndipo Mungu akamtuma Nabii wake na kumwambia "Mwambie Ezekiel nimesikia maombi yake na nimemuongezea miaka kumi na mitano aishi". Kumbe Mungu anapenda tuishi ila shetani anapenda tufe akijua huwezi mpata MTU anayefanana na yule amekwisha kufariki. Hivyo basi tukumbuke Mungu anapenda tuishi na kumtukuza.

Mungu ibariki Tanzania na

Mungu ibariki Tanzania na viongoz wake. Amen
Sipatagi watesi kusema nilimuuwa Magufuli kwa uzi huu ila naulizwa yupo wapi Ben saanane huwa inanitafakarisha sana
 
Uzuri ni kwamba aliyekuwa anaua wenzie naye kafa kindezi huku akiwa na ulinzi wa hali ya juu na huku akiwa na huduma za kisasa za tiba pembeni yake. Endelea kuungua na moto wa jehanam Magufuli
 
🤣🤣
 
I have read your article yesterday you seem to have some crucial Info's but Still hesitate to call you prophet.
Watu wa state wamo humu na uwenda wananijuwa ila hawaoni uhusiano wowote nikipaji na uwezo Mungu kanipa naona kesho naona mambo makubwa sana namengine siandiki sihitaji mtu aniambie wala nini huu niuwezo Mungu kanipa. Sipo peke yangu wapo wanadam kama mm sema niwachache
 
Huyo anajua anachofanya mkuu ,hata Ben saanane aliandika humu.....Ukiona anaandika kitu basi ujue wapo kwenye implementation/execution.
Nataka nikwambie sipo na sitokuwa ila najuwa nina uwezo wa ajabu na mshukuru Mungu
 
Ujinga mtupu, nikisema wewe utakuwa hakika lazima ufe, huko siyo kuiona kesho.
Huwezi kujuwa kesho wala kuiona kama hujupewa hiyo karama. Siwezi kukujibu ila muda utakujibu kila dukuduku lako....
 
Kwa kauli huwenda waliomuua kuna baadhi yao pia waahatangulia mbele ya haki. Nimekuwa nikikufuatilia kwa ukaribu mno huwenda ukawa boss mmoja wapo kule eagle maana kuna vitu unaandika vinafikirisha sana
Nina uwezo wa ajabu nasikia pasipo vifaa vya kusikiliza naona kabla hawajaona sitokuwa wa kwanza ila wanadam wa aina kama yangu wapo japo tupo wachache.
 
Wengi wanao kitamani kiti Tz hawakikalii
Ulimuonya saa 8 haya sasa na huyu saa 100 mboni humuonyi? Wanasema alibakwa na yeye kala buyu maana yake kweli alibakwa? Twende kazi unasemaje kuhusu hilo nini kinafuata alibakwa tena sababu lisemwalo km kifo hutokea sasa watu wanasema sema kubakwa kubakwa je alibakwa? Kwenye maono yako huko ukiingia unaonaje alibakwa? Au hapo chenga tu huoni kitu?
 
Hapo umeandika uwongo kufarahisha nafsi yako
 
Back
Top Bottom