MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Kwa akili yako wewe kila tukio la kipuuz serikali inatakiwa ilete wataalam toka nje?Hahahahhah. Kwa lipi zaidi?Huyo saa 8 alikua ni nani na ana tishio gani kwa mamlaka?OK tufanye amejipoteza mwenyewe..
Waziri Mkuu alikataa bungeni kuleta wataalam kutoka nje ya nchi..
Alisema sisi wenyewe tuna vikosi vyenye uwezo wa hali ya juu wa kuchunguza.. Mwaka wa tano huu.. Tunaendelea kusubiri