Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Hata ukiwa kwenye vyama vya Siri vya kichawi mfano freemason,au umaarufu,au utajiri wa kujitoa kafara,nk nk.
Mda wako wa kifo ukifika huwa unajua na unaambiwa kabisa mwaka huu zamu yako au kafara lijalo ni wewe.
Ipo njia ya kujinasua ukiwa na shida hii tafuta msaada utaupata si kwamba wao Wana nguvu zaidi kuliko upande wa pili,wengi tu waliyavunja maagano yao na wakatoka huko na leo wako huru wazima kabisa.