Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo

Wewe ni mhusika Mkuu kwani vitisho vyako kuhusu kumuua Ben Saanane vipo hapa vya maandishi ni ushahidi tosha kwamba wewe ni mmoja wa wahusika wakuu wa kupotea kwa Ben. Mikono yako imejaa damu ya Ben Saanane.
Wanajuwa waliohusika kama pia wapo hai. End
 
Wewe ni mhusika Mkuu kwani vitisho vyako kuhusu kumuua Ben Saanane vipo hapa vya maandishi ni ushahidi tosha kwamba wewe ni mmoja wa wahusika wakuu wa kupotea kwa Ben. Mikono yako imejaa damu ya Ben Saanane.
Kweli:-
Ben sa8 akang'oka
Magu naye akang'oka.
Kinywa cha huyu mtu ni hatari sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom