Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo

Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo

TumainiEl, leo Mungu muumba mbingu na nchi amekutuma.

Umekuwa NABII

Maneno haya yalipaswa kunenwa na viongozi wa dini waziwazi.

Leo umetimiza neno la Yesu, alilowaambia wayahudi kuwa, msiponiimbia ninyi nitayaamuru mawe yapige kelele.

TumainiEl, leo umekuwa jiwe lililoamuriwa na Yesu upaze sauti maana wayahudi(viongozi wa dini) wamekataa kuimba

Ninashaka utakuwa jiwe kuu la pembeni walilolikataa waashi
 
Jukwaa lina watu wa kila aina.

Kama tukilitumia jukwaa hili, kujifunza, kujielemisha, kujitafakari na kujirudi, tutaiona JF ni zawadi toka kwa Mungu kwaajili ya maisha yetu, kwaajili ya usalama wetu, kwaajili ya wokovu wetu, kwaajili ya mafanikio na ustawi wetu.

Japo wapo wanaotaka kuigeuza JF ionekane ni genge la wahuni, wajinga, wanafiki, n.k; lakini watu ambao Mungu amewajalia hekima, uelewa, unabii, uponyaji na maarifa mbalimbali, wasivunjike moyo bali waendelee kutoa kwa wengine kile ambacho Mungu wetu amewajalia.
 
Back
Top Bottom