Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo

Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo

Naona watu waliomtabiria kifo JPM ni wengi, sijui ilikuwa ni utabiri kweli, coincidence au Chuki.
Hakuna kitu,jambo,hali inatokeaga humu ulimwenguni KWA bahati mbaya.Ni mipango.Unaweza kudhani jambo fulani ni la bahati mbaya lkn wakati mwingine imepangwa lionekane bahati mbaya .

Uongozi pia, tena kiongozi wa nchi siyo bahati mbaya.

Magufuli alishajifitini hata mbele za Mwenyezi Mungu.

Binadamu tuna macho mawili ya kuangalia, lkn tuna jicho la tatu ktk paji la uso wako kwa ajili ya kuona.
 
Unahitaji ukamatwe ukasaidie upelelezi. Si bure ulikuwa na lako jambo kichwani.
 
The law of attraction state that a man become what he thinks or feel about most of time...

Mr JPM alitusaidia kuitumia hii law Kwenye janga la corona huenda kwa kujua au kutokujua...aliitumia hii law kwa kuapply hii formula ya what you resist persist...

Kwa bahati mbaya akasahau kuitumia hii law of attraction kwake binafsi...huenda kuna nguvu fulani ilikuwa inamuita kwa sababu the law of life is the law of beliefs.

Ila mwisho wa siku tuna sema sisi ni wa muumba na kwake tutarejea...
 
Back
Top Bottom