DaaaaahMagufuli ataondoka Ikulu kwa bunduki au kifo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaaaaahMagufuli ataondoka Ikulu kwa bunduki au kifo tu.
Alijua hali yake dhohofu bin hali, Kibatari kipo kwenye upepo na mafuta hayatoshiAlijua litakalotokea kwake kwa kuipenda Tanzania kwa namna yake.
Yaani uipende Tanzania mpaka ifike hatua ya kuwaua watanzania wenzako hovyo kama uhai wao hauna thamani, ndio upendo gani?Alijua litakalotokea kwake kwa kuipenda Tanzania kwa namna yake.
Kwamba asingeweza kukubali kutoka kwenye kiti akiwa hai, mvua inyeshe au jua liwake angeng'ang'ania tu.Unaamaanisha nini Mkuu ?
Ni kweli maneno huumba.Mkumbushe huyo, atakuwa ama amesahau ama hajui kuwa maneno huumba!
Kama kweli kauli huumba, hii nchi ingekuwa kama Ulaya🐒Duh...!.
Pia kuna siku nilimsikia akisema amejitoa sadaka...
Kiukweli kauli huumba !.
RIP JPM.
P
Tupe mrejeshoMagufuli ataondoka Ikulu kwa bunduki au kifo tu.
ImetimiaHuu uzi huu mnaweza kuja kuhojiwa wote.
Kwa urefu wa kamba zaoSasa ameshakufa, watu wale wale aliokuwa akiwaamini wamerithi kiti chake, wanamdhihaki na kujipimia.