Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Anaitwa Nzagambadume! Lakini kaandika kwa kejeli za kimipasho za watoto wa jinsia nyingine! Aibu sana!
Mkuu Msuluhishi ukiwa upande wa chama fulani ccm cdm cuf nk. unakuwa na makengeza mimi natamani hizo pesa za kununulia ndege tugeimarisha ttcl mana biashara ya mawasiliano inalipa na haina hasara kama ya ndege lakini siwezi kufurahia ndege yetu kushikwa na mdeni anayetudai zaidi ya bi 70 hizo kilomita ngapi? za brbr. ukiona mtoto anafurahi mali ya nyumbani kushikwa na mdeni uyo si mwanafamilia.
 
MKULIMA AKIONA KUKAMATA NDEGE HAITOSHI ATAANZA KULENGA VIONGOZI WAKUBWA WA SERIKALINI WAKIFANYA ZIARA NJE YA NCHI
Kama angekuwa hajamaliziwa tungesikia prof Wakukodoa kafungiwa kwenye banda la Nguruwe.
 
ILA mkulima amewatia adabu, kufa kufaana, certainly he has been paid his money, the government has incurred unnecessary costs to hire lawyers, dispatch our local lawyers to and from different parts of the world. Wangekuwa wanasemaukweli, I think thousand of dollars tumezipoteza kwa sababu ya misimamo ya kipumbavu
 
Hongera sana jabali lisiloyumba Magufuli na nguli wa sheria Prof.Palamagamba Kabudi,mzalendo wa kweli na Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mabeberu wamebaki wanaweweseka tu,Steyn chali.
 
Acha kupotosha wewe,
 
Ndege yetu mpya iliyokuwa inashikiliwa Canada imeanza safari ya kuja nchini. Ndege hiyo imepewa namba za usajili 5H-TCF

Hongera sana jabali lisiloyumba Magufuli na nguli wa sheria Prof.Palamagamba Kabudi,mzalendo wa kweli na Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mabeberu wamebaki wanaweweseka tu,Steyn chali.
Lazima mmetoa hela kulipa kulima, otherwise ataikamata inayoenda India kwani ni nchi ya commonwealth Lipeni madeni ya watu acheni dhuluma
 
Lazima mmetoa hela kulipa kulima, otherwise ataikamata inayoenda India kwani ni nchi ya commonwealth Lipeni madeni ya watu acheni dhuluma
Eti lipeni,kwa hiyo wewe huhusiki na wala sio Mtanzania,si ndio.Hama basi utuache na nchi yetu.

Na kama tumeshinda kesi kwa nini tulipe?Shall we not be very stupid?Na nikuambie kitu,kama Canada tumeshinda hakuna wa kutuweza,Steyn akae chini atulie.Halafuu,nchi gani itakubali kumpoteza mteja mzuri na tajiri kama Tanzania?Jibu ni hakuna.
 
Hongera sana jabali lisiloyumba Magufuli na nguli wa sheria Prof.Palamagamba Kabudi,mzalendo wa kweli na Rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mabeberu wamebaki wanaweweseka tu,Steyn chali.
Jamaa kweli wewe unayajua mapambio ya kumsifu na kumuabudu Jiwe.Bila shaka wewe utakuwa na ujamaa na profesa majalalani!
 
Hizi ndege "tunazinunua" za nini? Biashara yenyewe inaendeshwa kisiasa. Route ya Dar-Harare-Dar mnapeleka de havilland turboprop halafu JET mnapeleka Chato, kijijini na inapark huko! 3hour flight mnawapa abiria juice na skonzi kwenye flight ya mchana badala ya lunch! AIBU!!!

Flight ya mchana HARARE - DAR inairishwa na kupangwa usiku wa manane, saa nane usiku badala ya saa sita mchana.

Mlivyo wababe hata taarifa hamtoi! Mnaendelea kununua kwa taslimu, "fanya kama kawaida yetu", mkulima anaidaka. What a shame. Acheni USHAMBA WENU
 
Jamaa kweli wewe unayajua mapambio ya kumsifu na kumuabudu Jiwe.Bila shaka wewe utakuwa na ujamaa na profesa majalalani!
Mimi sio mnafiki kama wewe,penye sababu ya kusifu nasifu,penye sababu ya constructive criticism na-criticize.
 
Smiling all the way to the Bank
Ni ushindi mkubwa kwa Mkulima Hermanus Steyn na wapenda haki wote wa Tanzania dhidi ya utawala wa kimabavu wa CCM
Wale wote wanaodai Serikali wakati ndio huu zikamateni hizo Ndege ili mlipwe chenu huu utawala huwa unashamiri kwenye Zulma

Zuluma ya aina yoyote ile ni ya kukemewa

Hasabu jasho lako mzee lakini tusikusikie tena ukilalama
Chadema tukishika dola Mzee tutakukaribisha uje uwekeze kwenye sekta ya kilimo na hasa kwenye mbegu bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…