Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Kama wameachia kwa kumalizana na deni LA huyo mkulima itakuwa suluhisho LA kudumu. Ila kama imeachiliwa kwa technicalities za kisheria bado siyo suluhisho
 
last time SA tulishinda kesi ... this time ndege imeachiwa huru ... mhhh ... government revenues
 
mbona mwanzo mlikuwa mnajulikana kabisa mnafurahi yaani mimi ndiyo maana nawaonaga wapinzani wa tanzania ni punguwani namba moja sasahivi wanajificha
Kwenye watu 10 akifurahi mmoja haina maana wamefurahi na waliobaki.... kila mmoja ana maoni yake, si kila mtu anapenda hizo shida tunazozipata..... tunatofautiana sana mawazo... kama yule anaeona story hii inahusiana na kila ambae sio chama Mapinduzi. Kuihusisha hii story na Mbowe ni kukosa hoja tu... ni wapi Mbowe umemsikia anaongelea masuala ya kukamatwa kwa ndege, yeye mwenye na wenzake wana changamoto kibao....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…