Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Njoo uchukue mzigo wako mkuu uliusahau pale barabarani ulipokuwa umekaa.Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo uchukue mzigo wako mkuu uliusahau pale barabarani ulipokuwa umekaa.Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
CHADEMA na ACT walikuwa wanataka mkulima alipwe pesa yake, na hilo limefanyika bila ubishi.kwa kweli na kujifanya mwema kwelikweli poleni wapinzani hasa chadema na act mlifurahiiiiii na mamneno mengi ya kashfa
Wewe ni mpuuzi na mjinga wa kwanza Tanzania, kwani wapinzani ndiyo waliishikilia..?Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
Sio sura je deni limelipwa!!???Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
Kama wameachia kwa kumalizana na deni LA huyo mkulima itakuwa suluhisho LA kudumu. Ila kama imeachiliwa kwa technicalities za kisheria bado siyo suluhishoRais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmasharuri kuu ya Taifa ya chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canana imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia JPM amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).
“Ndege yetu iliyokuwa inashikiliwa Canada imeachiliwa, wananchi watatangaziwa tarehe ya kuwasili ili wakaipokea na tutaipokelea hapa Mwanza.” Alisema
Itakumbukwa Mamlaka nchini Canada zilikamata ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400. Kutokana na shauri la kesi iliyofunguliwa na mkulima mstaafu raia wa Namibia Hermanus Steyn
View attachment 1289573
Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani
ilivyokamatwa kuna mtu alikujaakasema mungu mkubwa nasubiri na leo aje aunge mkono hapa kuwa mungu mkubwa nione uzalendo wake
Nawe umeanza kusadiki?Maendeleo hayana chama
Dishi lako litakuwa ka china!!! inachanganya mambo sanaHongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
ni mbishi huyo dada balaa
Kwenye watu 10 akifurahi mmoja haina maana wamefurahi na waliobaki.... kila mmoja ana maoni yake, si kila mtu anapenda hizo shida tunazozipata..... tunatofautiana sana mawazo... kama yule anaeona story hii inahusiana na kila ambae sio chama Mapinduzi. Kuihusisha hii story na Mbowe ni kukosa hoja tu... ni wapi Mbowe umemsikia anaongelea masuala ya kukamatwa kwa ndege, yeye mwenye na wenzake wana changamoto kibao....mbona mwanzo mlikuwa mnajulikana kabisa mnafurahi yaani mimi ndiyo maana nawaonaga wapinzani wa tanzania ni punguwani namba moja sasahivi wanajificha
ehe yakweli hayoNa Mbowe na chadema rasmi wamemtosa Tundu Lisu, sasa yuko (Tundu Lisu) mwenyewe, uongo huzunguka tu lkn haujawahi kumfikisha mtu popote mbele ya safari.
Sasa mumlipe halafu mumfungulie costsSafari hii tunataka kusikia yule mzungu amefunguliwa costs.....
ya kukamata ndege zetu hovyo hovyo...