ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
very kweliwaambie na majuha wenzio na nyinyi mutafute vya kuonyesha mafanikio sisi tunaonyesha ndege halafu mnazipanda mnakuja mwanza kuomba radhi kwa rais yuleyule ambaye mlisema hamumutambui mbona 2020 mtapata taabu sanaaaaa
Mbowe tena? Hahaha mbowe kakufanya kitu kibaa huwezi kumsahauAcha shobo wapi wamesema wamememlipa mbowe yupo anachagua vazi la kwrnda kuipokea ikifika mwanza ,ataunga mkono juhudi kama alivyounga siku ya Uhuru
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
sema tu wanamistres yao kibao ya kugombania uenyekiti mbona wanashida sana hawaKwenye watu 10 alikifurahi mmoja haina maana wamefurahi na waliobaki.... kila mmoja ana maoni yake, si kila mtu anapenda hizo shida tunazozipata..... tunatofautiana sana mawazo... kama yule anaeona story hii inahusiana na kila ambae sio chama Mapinduzi. Kuihusisha hii story na Mbowe ni kukosa hoja tu... ni wapi Mbowe umemsikia anaongelea masuala ya kukamatwa kwa ndege, yeye mwenye na wenzake wana changamoto kibao....
Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi akikuita chizi inabidi kukaa kimya tu maana ukiendelea kubishana naye utaonekana kweli wewe ni chizi.mbona mwanzo mlikuwa mnajulikana kabisa mnafurahi yaani mimi ndiyo maana nawaonaga wapinzani wa tanzania ni punguwani namba moja sasahivi wanajificha
Atakua amelipwa kimya kimya, hawawezi kusema hawa manyang'au
Kweli hongera Magufuli kwa juhudi.Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
punda nyie furahieni baba zenu tumewakombolea ndegeAtakua amelipwa kimya kimya, hawawezi kusema hawa manyang'au
Details za nini mkuu? Sasa hivi ni kushangilia na kusifu tu, baadaye hata tukiambiwa mkulima kalipwa tutashangilia vile vile, tena tutamsifu sana raisi wetu kuwa kafanya jambo la maana sana kwa kawaumbuwa mabeberu ambao walifikiri tutashindwa kulipa hivyo vijisenti vya hako kabeberiu kadogo ambako hakajaota hata ndevu.Watanzania wenzangu hata details hamtaki?
Wapinzani ndiyo walikataa kumlipa mkulima fedha zake? Wewe hata mumeo akishindwa kukupachika mimba utasingizia wapinzani.Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
Wapinzani ndio walikua wanachekelea kukamatwa kwa ndege yetu ! Wataomba poo tu !dadeki !Unachanganya mambo...walioshtaki ni wapinzani??
SOMA:
Itakumbukwa Mamlaka nchini Canada zilikamata ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400. kutokana na shauri la kesi iliyofunguliwa na mkulima mstaafu raia wa Namibia Hermanus Steyn
Zito na lisu ndio waliuza dili sasa leo sijui watajificha wapi
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ndio waliyoikamata?Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao