Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

waambie na majuha wenzio na nyinyi mutafute vya kuonyesha mafanikio sisi tunaonyesha ndege halafu mnazipanda mnakuja mwanza kuomba radhi kwa rais yuleyule ambaye mlisema hamumutambui mbona 2020 mtapata taabu sanaaaaa
very kweli
 
Kwenye watu 10 alikifurahi mmoja haina maana wamefurahi na waliobaki.... kila mmoja ana maoni yake, si kila mtu anapenda hizo shida tunazozipata..... tunatofautiana sana mawazo... kama yule anaeona story hii inahusiana na kila ambae sio chama Mapinduzi. Kuihusisha hii story na Mbowe ni kukosa hoja tu... ni wapi Mbowe umemsikia anaongelea masuala ya kukamatwa kwa ndege, yeye mwenye na wenzake wana changamoto kibao....

Sent using Jamii Forums mobile app
sema tu wanamistres yao kibao ya kugombania uenyekiti mbona wanashida sana hawa
 
Watanzania wenzangu hata details hamtaki?
Details za nini mkuu? Sasa hivi ni kushangilia na kusifu tu, baadaye hata tukiambiwa mkulima kalipwa tutashangilia vile vile, tena tutamsifu sana raisi wetu kuwa kafanya jambo la maana sana kwa kawaumbuwa mabeberu ambao walifikiri tutashindwa kulipa hivyo vijisenti vya hako kabeberiu kadogo ambako hakajaota hata ndevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachanganya mambo...walioshtaki ni wapinzani??
SOMA:
Itakumbukwa Mamlaka nchini Canada zilikamata ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400. kutokana na shauri la kesi iliyofunguliwa na mkulima mstaafu raia wa Namibia Hermanus Steyn
Wapinzani ndio walikua wanachekelea kukamatwa kwa ndege yetu ! Wataomba poo tu !dadeki !
 
Mkulima kalipwa mkwanja wake. Magu kaongea kinyonge sana, ni kwa kuwa alilazimika kuzama mfukoni.

Na ndo maana walikuwa hawawapi wananchi updates za kesi, mambo hayakuwaendea vizuri this time around kule Canada. Wale mnaoishi kwa monthly salary tarajieni kucheleweshewa mshahara wa December au January.
 
Back
Top Bottom