state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
Hongera serkali ya awamu hii maana sio kwa midege hiii
Viva jpm
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Viva jpm
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana naona unavyonuna na akina Sky EclatRais Magufuli amesema Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa nchini Canada imeachiwa na itapokelewa jijini Mwanza hivi karibuni.
Kwa taarifa tu, Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa, mtatangaziwa siku ya kuipokea na itapokelewa hapa Mwanza” Rais Magufuli akiwa Mwanza
Maendeleo hayana chamaRoho inakuuma sana wewe na mbowe Leo mnalala na viatu
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kwa sababu huwa wanafurahia zinapokamatwaWewe uwe unatumia akili hata kidogo, ingawa huna akili tumia hata fuvu la ubongo kufikiri, wapinzani wanaingiaje hapa?
His statement tells it, I believe settlement has been reached, mzungu is now relieved.
Bila Shaka Mbowe na CHADEMA lazima wawepo Mwanza kuunga juhudi, ili maombi yao yaweze kufanyiwa kazi.
Magufuli kajipigia goli la Mkono kiulani.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, mnatia aibu, wewe ndio popoma namba moja.Mapopoma cjui sahivi yatajificha wapi...
Mi nimetupa jiwe gizani kumbe limekupata..... Pole
MMM we bibi leo unaiandika hii taarifa bila kukejeli umekuwaje leo? wewe si ndiyo ulikuwa unakazia ule uzi siku kabudi alivyosema ndege imekamatwa ukaletwa uzi wa ajabu hapa ukafurahiiii hebu ficha sura yako basi uwe na aibu hata kidogo
Utasikia tu..... Haina haja ya kukutag...
kwa kweli na kujifanya mwema kwelikweli poleni wapinzani hasa chadema na act mlifurahiiiiii na mamneno mengi ya kashfa
Wataziweka mfukoni mwako punguani uliyetukuka. Kwani ni wapinzani ndiyo walioikamata hiyo ndege?!Hongera Rais Magufuli
Wapinzani sijui wataweka wapi sura zao
Unaishi Dunia ya wapi?Safari hii tunataka kusikia yule mzungu amefunguliwa costs.....
ya kukamata ndege zetu hovyo hovyo...