Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Rais Magufuli amesema Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa nchini Canada imeachiwa na itapokelewa jijini Mwanza hivi karibuni.

Kwa taarifa tu, Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa, mtatangaziwa siku ya kuipokea na itapokelewa hapa Mwanza” Rais Magufuli akiwa Mwanza
Pole sana naona unavyonuna na akina Sky Eclat
 
Erythrocyte,
MMM we bibi leo unaiandika hii taarifa bila kukejeli umekuwaje leo? wewe si ndiyo ulikuwa unakazia ule uzi siku kabudi alivyosema ndege imekamatwa ukaletwa uzi wa ajabu hapa ukafurahiiii hebu ficha sura yako basi uwe na aibu hata kidogo
 
Back
Top Bottom