Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Dawa ya deni ni kulipa na hilo limedhihirika leo
CCM ni mabimgwa wa kutengeneza tatizo halafu kulitatua kwa mbwembwe
Hili deni walikubali kulilipa baada ya hukumu ya mahakama ya jamhuri ya Muungano kutoa hukumu

Imekuja hii awamu ya Mbwembwe ikakaataa kulilipa ndio tukafika hapa

Sasa wapinzani wanaingizwa kwenye mgogoro
 
Biashara waachie wanao jua biashara na mikataba. Yaani una nunua ndege kama magarage sokoni? Hata magarage una pimiwa una yaona. Ndio una lipa. Kama angeshauriwa afungue lc alie baada ya ndege kutua Tz haya yote hayange tokea.. Sasa tuna beba gharama za ajabu kwa sababu ya maamuzi yasiyo fuata taratibu
Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmasharuri kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canana imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia JPM amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).

“Ndege yetu iliyokuwa inashikiliwa Canada imeachiliwa, wananchi watatangaziwa tarehe ya kuwasili ili wakaipokea na tutaipokelea hapa Mwanza.” Alisema

Itakumbukwa Mamlaka nchini Canada zilikamata ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400. Kutokana na shauri la kesi iliyofunguliwa na mkulima mstaafu raia wa Namibia Hermanus Steyn



ZAIDI SOMA:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angeendelea kutwambia ni hatua zipi zilizochukuliwa mpaka ndege hiyo kuachiwa. .. Kama tumelipa basi tuambiwe ni kiasi gan? Kama tumeshinda kesi basi huyo mkaburu atatulipa sh ngapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli atulipe kwa usumbufu nae amezidi. Itolewe tangazo dunia nzima waelewe kwamba huyu mkulima ni msumbufu au kama anacho chake basi tumulipe hata kwa installments ili atulie. Watu wataogopa kukata tiketi za ATCL wakihisi hawako salama na safari zao.
 
Biashara waachie wanao jua biashara na mikataba. Yaani una nunua ndege kama magarage sokoni? Hata magarage una pimiwa una yaona. Ndio una lipa. Kama angeshauriwa afungue lc alie baada ya ndege kutua Tz haya yote hayange tokea.. Sasa tuna beba gharama za ajabu kwa sababu ya maamuzi yasiyo fuata taratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mku hilo halingesaidia kitu kwani zitarukia hapa tu Tz hazitakwenda nje ya nchi? Hata kama angelipia hapa bado zingeruka kupeleka watu nchi zingine na zingekamatwa pia.
 
Tunamshukuru magufuli kwa kuiachia ndege ili irudi haraka bila kulipa hata Senti tano
Inavyoelekea tutakuwa tumelipa au tumekubali kulipa, maana hii taarifa haina "tambo" lolote!! Tungekuwa tumeshinda kesi bila shaka tungeambiwa hivyo, ukiona hilo halisemwi maana yake tumeambulia kinyume chake!! Yote Kwa yote la maana ndege yetu inarudi!!
 
Kwan walikwambia wanadaiwa shilingi ngapi. Kwama walisema ndege imekamatwa basi wanakwambia tena imeachiwa. Umbea mwingine Kama unataka vaa dera uende canada ukaulizie

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maneno ya mtu mpumbavu, asiyejitambua na aliyefilisika kifikra. Kwa ufinyu wako wa akili unaona ni umbeya kutaka kujua kodi zetu zinatumikaje wewe popoma uliyetukuka!!! Hayo ya kuvaa dera kaongee na wanawake wenzako huko saluni, siyo hapa JF fala mkubwa we!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima ikazindikwe Mwanza safari hii
Kila atakaeigusa afeeeee


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hapo bila shaka mzungu kalipwa ndio maana hakuna mbwembwe ila wadai bado wapo kuna ile kampuni ya Japan inayodai USD 61 M, Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong USD 200 M, Symbion ya US inayodai USD 561 M yote zaidi ya USD 800 M.
We still have a long way to go and we've nothing to smile about.
 
Unge
Mmelipa, mimi sio sehemu ya hayo maamuzi ya kurusha watu haki zao. Huo ujinga wa kuona VX la serikali kisha kusema ni magari yetu huwa sifanyi, hayo ni magari ya hao wanaoyapakia.
ungesoma... ungejihusisha na siasa ... ungependwa na watu inawezekana ungekua ndani ya hayo magari Bahati mbaya sana ... I’ feel sorry for you
 
Back
Top Bottom