Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Tundu lisu ameingiaje humu wewe kweli ni zwazwa.Na Mbowe na CHADEMA rasmi wamemtosa Tundu LiSsu, sasa yuko (Tundu Lisu) mwenyewe, uongo huzunguka tu lakini haujawahi kumfikisha mtu popote mbele ya safari.
Usiseme limelipwa ... tumelipa sawa we mkenya
Amesema atakamata pia treni ya SGR ikianza kaziSafari hii tunataka kusikia yule mzungu amefunguliwa costs.....
ya kukamata ndege zetu hovyo hovyo...
Mimi nimekudharau rasmiWewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Bado hujaacha mawazo ya kishirikinaNa Mbowe na CHADEMA rasmi wamemtosa Tundu LiSsu, sasa yuko (Tundu Lisu) mwenyewe, uongo huzunguka tu lakini haujawahi kumfikisha mtu popote mbele ya safari.
Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmasharuri kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canana imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia JPM amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).
“Ndege yetu iliyokuwa inashikiliwa Canada imeachiliwa, wananchi watatangaziwa tarehe ya kuwasili ili wakaipokea na tutaipokelea hapa Mwanza.” Alisema
Itakumbukwa Mamlaka nchini Canada zilikamata ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400. Kutokana na shauri la kesi iliyofunguliwa na mkulima mstaafu raia wa Namibia Hermanus Steyn
ZAIDI SOMA:
Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...www.jamiiforums.com
Hata hiyo akili ya kujiuliza hivo hatuna pia. So sad.Tatizo Watanzania wengi wajinga na CCM hutumia ujinga huo kufaidisha.....
Hawajaeleza imekuwaje Imeachiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli atulipe kwa usumbufu nae amezidi. Itolewe tangazo dunia nzima waelewe kwamba huyu mkulima ni msumbufu au kama anacho chake basi tumulipe hata kwa installments ili atulie. Watu wataogopa kukata tiketi za ATCL wakihisi hawako salama na safari zao.Angeendelea kutwambia ni hatua zipi zilizochukuliwa mpaka ndege hiyo kuachiwa. .. Kama tumelipa basi tuambiwe ni kiasi gan? Kama tumeshinda kesi basi huyo mkaburu atatulipa sh ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku hilo halingesaidia kitu kwani zitarukia hapa tu Tz hazitakwenda nje ya nchi? Hata kama angelipia hapa bado zingeruka kupeleka watu nchi zingine na zingekamatwa pia.Biashara waachie wanao jua biashara na mikataba. Yaani una nunua ndege kama magarage sokoni? Hata magarage una pimiwa una yaona. Ndio una lipa. Kama angeshauriwa afungue lc alie baada ya ndege kutua Tz haya yote hayange tokea.. Sasa tuna beba gharama za ajabu kwa sababu ya maamuzi yasiyo fuata taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda tafuta ujue ndege zipo chini ya wizara gani alafu uchungulizie huko kwenye bajeti yao.bajeti ya pesa za kuinunua ilipitishwa na bunge lipi?
Inavyoelekea tutakuwa tumelipa au tumekubali kulipa, maana hii taarifa haina "tambo" lolote!! Tungekuwa tumeshinda kesi bila shaka tungeambiwa hivyo, ukiona hilo halisemwi maana yake tumeambulia kinyume chake!! Yote Kwa yote la maana ndege yetu inarudi!!Tunamshukuru magufuli kwa kuiachia ndege ili irudi haraka bila kulipa hata Senti tano
Hayo ni maneno ya mtu mpumbavu, asiyejitambua na aliyefilisika kifikra. Kwa ufinyu wako wa akili unaona ni umbeya kutaka kujua kodi zetu zinatumikaje wewe popoma uliyetukuka!!! Hayo ya kuvaa dera kaongee na wanawake wenzako huko saluni, siyo hapa JF fala mkubwa we!Kwan walikwambia wanadaiwa shilingi ngapi. Kwama walisema ndege imekamatwa basi wanakwambia tena imeachiwa. Umbea mwingine Kama unataka vaa dera uende canada ukaulizie
Sent using Jamii Forums mobile app
ungesoma... ungejihusisha na siasa ... ungependwa na watu inawezekana ungekua ndani ya hayo magari Bahati mbaya sana ... I’ feel sorry for youMmelipa, mimi sio sehemu ya hayo maamuzi ya kurusha watu haki zao. Huo ujinga wa kuona VX la serikali kisha kusema ni magari yetu huwa sifanyi, hayo ni magari ya hao wanaoyapakia.
Hamuishagi kutafuta sababu kwa kila kitu.His statement tells it, I believe settlement has been reached, mzungu is now relieved.