Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

Hongera JPM, hongera ccm. Kuna tetesi kuwa yule dogo Waziri Mkuu wa Canada ana mpango wa kutembelea Tanzania ili kurudisha uhusiano. Chezea JPM wewe?
 
Mtoa mada ni mnafiki tuu, lakini habari ndio hiyo chuma ya mcanada inatia timu sooon.
 
Bandiko lako linaonyesha wazi kwamba wewe sio mmoja wetu kama ulivyobainisha mwenyewe kwa kusema "na sherehe mnafanya." Sasa unataka kujua kama tumelipa au hatujalipa hili iweje,mbona jambo hili halikuhusu,mbona sio lako.Kaa pembeni bwana,tafadhali endelea na hamsini zako na sisi tuache tuendelee na mambo yetu.
Kwani kutoshiriki sherehe ni kuwa jambo halinihusu? Kama pesa zangu zinahusika popote kwa kupenda au kutokupenda Basi matumizi hayo yananihusu jombaa!
Walete majibu, sisi wote sio wafuasi wa tabia ya "ndio muzee!" Tuna dadisi na kuperuzi mambo ya nchi yetu. Wewe ukitaka kuficha kichwa mchangani hayo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeanza kutafuta sifa, hamuoni hata aibu, lipeni Deni vinginevyo ndege itakamatwa Tena muaibike tena
Walipe mara ngapi brother wakati tayari wameshalipa! Sema wanaona aibu kujitokeza kusema ukweli kuwa wamelipa na kwa kulipa huko kisanduku bubu chetu (hazina) kimeyumba.
 
Punguza kuhangaika mkuu. Unaambiwa ndege ishaachiwa bado hutaki tu unataka kuendelea kuibua vihoja dhaifu.
Haya inaonekana unapenda Sana sababu

Basi na wewe tuambie Umeandika haya kwa sababu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu ni fedha zangu. Utaahira wako wa kukubali kila kitu yaani ukipelekwa kushoto haya, kulia haya, huo baki nao mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini 100% kwasababu Baada ya anko magu mh. Rais kutangaza ndege imeachiwa, sijaona comment za wapinga maendeleo ya awamu ya tano. Na ndio wafuatiliaji wakubwa na ndo wahujumu wa serikari hii. Hivyo kimya chao nimajibu tosha ya ushindi wa serikari ya awamu ya 5. Hongera nagufuri. Hongera kabudi . Hongera mawakiri wetu.
 
mnaomiliki pikipiki na magari mjiandae trafiki watawa bambikia faini za kutosha barabarani ili ku-compensate deni alilolipwa 'mkulima'
 
Mmeanza kutafuta sifa, hamuoni hata aibu, lipeni Deni vinginevyo ndege itakamatwa Tena muaibike tena
Mimi si Muungaji mkono wa Chama Cha mapinduzi ila navutiwa Sana na kazi ya JPM at least anayafanya yale mliyoyahubiri kwenye bunge la kihistoria la mwanadada Makinda. Mimi si mpinzani wa M4C I napinga utawala dharimu wa familia ya Mtei katika chama hicho mashuhuri. Naamini huyu mzungu angekuja mezani Rais Muungwana JPM angemsikiza tatizo Ni mbinu za kichawi anazotumia
 
Back
Top Bottom