Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kutoshiriki sherehe ni kuwa jambo halinihusu? Kama pesa zangu zinahusika popote kwa kupenda au kutokupenda Basi matumizi hayo yananihusu jombaa!Bandiko lako linaonyesha wazi kwamba wewe sio mmoja wetu kama ulivyobainisha mwenyewe kwa kusema "na sherehe mnafanya." Sasa unataka kujua kama tumelipa au hatujalipa hili iweje,mbona jambo hili halikuhusu,mbona sio lako.Kaa pembeni bwana,tafadhali endelea na hamsini zako na sisi tuache tuendelee na mambo yetu.
Walipe mara ngapi brother wakati tayari wameshalipa! Sema wanaona aibu kujitokeza kusema ukweli kuwa wamelipa na kwa kulipa huko kisanduku bubu chetu (hazina) kimeyumba.Mmeanza kutafuta sifa, hamuoni hata aibu, lipeni Deni vinginevyo ndege itakamatwa Tena muaibike tena
Kwa sababu ni fedha zangu. Utaahira wako wa kukubali kila kitu yaani ukipelekwa kushoto haya, kulia haya, huo baki nao mwenyewe!Punguza kuhangaika mkuu. Unaambiwa ndege ishaachiwa bado hutaki tu unataka kuendelea kuibua vihoja dhaifu.
Haya inaonekana unapenda Sana sababu
Basi na wewe tuambie Umeandika haya kwa sababu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa inasema ni jumamosi huko Mwanza. Watumishi wote wa umma kama Waalimu na wauguzi wameshapewa agizo la kufika uwanjani kuonyesha "UZARENDO"
Canada ndiyo sehemu yetu ya kulipia madeni sugu,"TUMELIPA"[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi si Muungaji mkono wa Chama Cha mapinduzi ila navutiwa Sana na kazi ya JPM at least anayafanya yale mliyoyahubiri kwenye bunge la kihistoria la mwanadada Makinda. Mimi si mpinzani wa M4C I napinga utawala dharimu wa familia ya Mtei katika chama hicho mashuhuri. Naamini huyu mzungu angekuja mezani Rais Muungwana JPM angemsikiza tatizo Ni mbinu za kichawi anazotumiaMmeanza kutafuta sifa, hamuoni hata aibu, lipeni Deni vinginevyo ndege itakamatwa Tena muaibike tena