Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

Waziri wa fedha Ndg. Mpango anaweza kuwalipa madeni yao ya likizo pamoja na malimbikizo ya mshahara ambazo nadhani ndio haki zao za msingi.
 
Wewe acha unafiki unafikiri hutoba ya jana alisoma akiwa chumbani kwako tu. JPM amejipambanua kwakusema ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Aidha jana ametoa sababu za wazi kabisa kwamba alikuwa amaimarisha uchumi akimanisha ukusanyaji wa kodi, kuziba mianya ya rushwa, wafanyakazi hewa, kuzibiti mafisadi, kuongeza nidhamu na uwajibikaji kazini. Sasa ameona mambo yapo kwenye right truck, uchumi umekua nidhani kazini na uwajibikaji umekua sasa mishahara itapanda kwa speed ya kimbunga.

Sisi wananchi wajasiliamali tumemuelewa sana. Tunajua miaka mitano tulikotoka hapa tulipo na tunako elekea. Usiishi kwa mazoea utafilisika ndugu amka. #JPM mi5 tena kazi iendelee
 
JPM ukiwa muongo usiwe msaahulifu wakati uko Musoma ulisema hautoongeza mishahara kuna miradi unajenga leo umefika Tanga unaleta siasa za uongo wafanyakazi hatudanganyiki 28/10 tunajambo letu
 
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!

Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kila amapoonbwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kwa wafanyakazi hao, katika kila sherehe za Mei Mosi, kila mwaka tokea aiingie madarakani mwaka 2015, akidai kuwa hawezi kuongeza mishahara wafanyakazi, kwa kuwa katika kipindi hiki anajenga miundo mbinu mikubwa ya reli ya SGR na bwawa la umeme la Stieglers Gorge?

Wakati Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa sababu hizo zisizokuwa na mashiko hata kidogo, marais wenzake wote waliomtangulia walikuwa wakiwaongeza mishahara yao wafanyakazi, pamoja na marais hao pia walikuwa wakiendelea kujenga miundo mbalimbali hapa nchini

Hivi Rais Magufuli kutoa ahadi hiyo wakati huu wa kampeni, anatugeuza sisi wafanyakazi wa nchi hii ni wajinga mno na tunaoweza kudanganyika kirahisi hivyo?

Sisi wafanyakazi wa nchi hii, hatudanganyiki tena na Rais Magufuli na tuna jambo letu ambalo tutalitimiza ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Wafanyakazi wa Tanzania jamani tusidanganyike na kauli za Magufuli eti ataongeza mishahara na marupurupu awamu hii akirudi tena madarakani. Huu ni uongo wa mchana kweupe. Magufuli ni mjeuri na kiburi sana. Magufuli anachosema sicho anachomaaanisha na anachomaaanisha sicho anachosema. Huyu jamaa ni kigeugeu sana. Nawaaambia mimi safari hii akirudi tena madarakani mujue atakuwa mtu mbaya zaidi kuliko hata alivyokuwa miaka mitano iliyopita. Chondechonde Watanzania wenzangu tushikamane sote kwa pamoja tumpunzishe Magufuli madarakani awamu hii. Tutakuja kujuta na kusaga meno awamu hii iwapo Magufuli akirudi tena madarakani.
 
Magufuli ni muongo huyu jamaa. Hataongeza mishahara hata kidogo. Watumishi wa umma musidanganyike. Safari hii Magufuli akirudi tena madarakani mujue atakuwa mtu mbaya zaidi kuliko hata alivyokuwa miaka mitano iliyopita. Chondechonde Watanzania wenzangu tushikamane sote kwa pamoja tumpunzishe Magufuli madarakani.
FB_IMG_1603163033500.jpg
 
Kumbe wafanyakazi akili imeanza kurudi, nyie si mnajidai wafia chama imekuwaje tena? Chagua jiwe kwa maendeleo my foot! This time mkijichanganya kwanza kwa meno mtalimia! Mimi nasema # ni yeye 2020# mishahara juu!
 
Magufuli ni muongo huyu jamaa. Hataongeza mishahara hata kidogo. Watumishi wa umma musidanganyike. Safari hii Magufuli akirudi tena madarakani mujue atakuwa mtu mbaya zaidi kuliko hata alivyokuwa miaka mitano iliyopita. Chondechonde Watanzania wenzangu tushikamane sote kwa pamoja tumpunzishe Magufuli madarakani.View attachment 1605624
Ninakubaliana na wewe kabisa 100%
 
Magufuri haaminiki hata kidogo, ubabe yeye, kiburi yeye miaka yote mitano nyongeza ya mishahara kwa watumishi hakuna eti anajenga reli! asubiri tarehe 28 asubuhi na mapema watumishi wa serikali wafanye yao
 
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!

Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kila amapoonbwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kwa wafanyakazi hao, katika kila sherehe za Mei Mosi, kila mwaka tokea aiingie madarakani mwaka 2015, akidai kuwa hawezi kuongeza mishahara wafanyakazi, kwa kuwa katika kipindi hiki anajenga miundo mbinu mikubwa ya reli ya SGR na bwawa la umeme la Stieglers Gorge?

Wakati Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa sababu hizo zisizokuwa na mashiko hata kidogo, marais wenzake wote waliomtangulia walikuwa wakiwaongeza mishahara yao wafanyakazi, pamoja na marais hao pia walikuwa wakiendelea kujenga miundo mbalimbali hapa nchini

Hivi Rais Magufuli kutoa ahadi hiyo wakati huu wa kampeni, anatugeuza sisi wafanyakazi wa nchi hii ni wajinga mno na tunaoweza kudanganyika kirahisi hivyo?

Sisi wafanyakazi wa nchi hii, hatudanganyiki tena na Rais Magufuli na tuna jambo letu ambalo tutalitimiza ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Tumpumzishe mtu huyu wiki ijayo.
 
Mei mosi zote alikuwa anawaajibu watu utumbo
Huyu mzee hana hata aibu! Yaani anadhani Wafanyakazi wote nchini wana akili finyu kama wale wa Lumumba. HATUDANGANYIKI. Awaongezee wafanyakazi wake wa CCM!

Bombardier na Flyovers zake zitampigia kura. Ila siyo Wafanyakazi alio wadhulumu stahiki zao kwa miaka yote hii mitano kwa kisingizio cha kujenga miundombinu.
 
Wafanyakazi wa Tanzania jamani tusidanganyike na kauli za Magufuli eti ataongeza mishahara na marupurupu awamu hii akirudi tena madarakani. Huu ni uongo wa mchana kweupe. Magufuli ni mjeuri na kiburi sana. Magufuli anachosema sicho anachomaaanisha na anachomaaanisha sicho anachosema. Huyu jamaa ni kigeugeu sana. Nawaaambia mimi safari hii akirudi tena madarakani mujue atakuwa mtu mbaya zaidi kuliko hata alivyokuwa miaka mitano iliyopita. Chondechonde Watanzania wenzangu tushikamane sote kwa pamoja tumpunzishe Magufuli madarakani awamu hii. Tutakuja kujuta na kusaga meno awamu hii iwapo Magufuli akirudi tena madarakani.
Acha ramri hizo, atakuwa mbaya zaidi kwani wewe ni mama yake mzazi unajifanya unamjua sana. Watanzania tumechagua ukweli na maendeleleo, tunajua Magufuli akiahidi anatekeleza. Aliposema aongezi mishahara alitoa sababu tukamwelewa, sasa ameahidi kupandisha tunamwamini. Mfano alisema atajenga barabara akajenga, alesema atanunua ndege ilikufufua shirika la ndege amefanya, alisema atanunua korosho kwa bei ya elfu3 kwa wakulina kanunua, acha uzushi wako sisi tuko na mzalendo wa kweli anayetuheshim kwakutuambia ukweli kuliko huyo kibaraka wenu cha domo mropokaji jeuri. #MAGUFULI MI 5 TENA KAZI IENDELEE
 
Back
Top Bottom