Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hata ukimuangalia usoni unajua kabisa kuwa anadanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mfanyabiashara wa nchi gani au Ubelgiji? Unajambo gani hali yakuwa mimi mfanyabiashara wa hapa bongo mi5 kwa JPM kazi iendelee.
Katika watu ambao hawaaminiki 100% mmoja wapo ni JIWE.....Ni muongo muongo paseeee!!! Hatumpi kura ,apigiwe na MAYANGA na MECCO.Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!
Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kila amapoonbwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kwa wafanyakazi hao, katika kila sherehe za Mei Mosi, kila mwaka tokea aiingie madarakani mwaka 2015, akidai kuwa hawezi kuongeza mishahara wafanyakazi, kwa kuwa katika kipindi hiki anajenga miundo mbinu mikubwa ya reli ya SGR na bwawa la umeme la Stieglers Gorge?
Wakati Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa sababu hizo zisizokuwa na mashiko hata kidogo, marais wenzake wote waliomtangulia walikuwa wakiwaongeza mishahara yao wafanyakazi, pamoja na marais hao pia walikuwa wakiendelea kujenga miundo mbalimbali hapa nchini
Hivi Rais Magufuli kutoa ahadi hiyo wakati huu wa kampeni, anatugeuza sisi wafanyakazi wa nchi hii ni wajinga mno na tunaoweza kudanganyika kirahisi hivyo?
Sisi wafanyakazi wa nchi hii, hatudanganyiki tena na Rais Magufuli na tuna jambo letu ambalo tutalitimiza ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Hizo ni ahadi za kampeni tu akichaguliwa atarudia kiapo chake cha kutowaongeza mishahara wafanyakazi mpaka atakapokamilisha Miradi yake ya SGR, Bwawa la umeme na madege yatakaporuka miaka 10 ijayo. Wafanyakazi walifanya kosa kumchagua, wasidanganyike tena ni mtaalamu sana wa kudanganya!Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!
Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kila amapoonbwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kwa wafanyakazi hao, katika kila sherehe za Mei Mosi, kila mwaka tokea aiingie madarakani mwaka 2015, akidai kuwa hawezi kuongeza mishahara wafanyakazi, kwa kuwa katika kipindi hiki anajenga miundo mbinu mikubwa ya reli ya SGR na bwawa la umeme la Stieglers Gorge?
Wakati Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa sababu hizo zisizokuwa na mashiko hata kidogo, marais wenzake wote waliomtangulia walikuwa wakiwaongeza mishahara yao wafanyakazi, pamoja na marais hao pia walikuwa wakiendelea kujenga miundo mbalimbali hapa nchini
Hivi Rais Magufuli kutoa ahadi hiyo wakati huu wa kampeni, anatugeuza sisi wafanyakazi wa nchi hii ni wajinga mno na tunaoweza kudanganyika kirahisi hivyo?
Sisi wafanyakazi wa nchi hii, hatudanganyiki tena na Rais Magufuli na tuna jambo letu ambalo tutalitimiza ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
@Mshana Jr hawa watu wanawaona Watanzania wajinga na wapumbavu sana! Kweli kwa sanaa za aina hiyo natoka kwangu kuja kupanga foleni nikupigie kura? She%&$nzy kabisa!
Hata kwenye zizi la nguruwe ukipeleka sahani ya pilau na pakacha la maembe yaliyooza, nguruwe wakakimbilia pakacha.Haha mimi kura yangu ni JPM tu.
Ndugu yangu kumbuka sheria ni msumeno inakata mbele na nyuma. Ukiwa mfanyakazi unalindwa na sheria sawa lakini ni lazima pia mfanyakazi ati sheria za kazi. Mfano uwajibikaji, kutokupokea rushwa, vyeti feki, wizi hizi zote zinamuondolea kinga. Nchi kabla Magufuri hajaingia madarakani wenyenchi yao ambao ni wapiga kura walikuwa na malalamiko Kila kona yanayohusu rushwa, kuzalauliwa na hao watumishi wa uma. Kucheleweshewa kwa makusudi kwajili ya urasim. Kwakifupi walikuwa watumishi wengi wezembe walirudisha nyuma uchumi wa nchi wakati huohuo wao wanaendelea kudai maslai haki. Au umejisaulisha ndugu yangu, nasema uongo ndugu yangu. Ilikuwa imefika wakati ukitaka kumuandikisha mtoto darasa la kwanza mwalimu anakuomba pesa la sivyo atakwambia nafasi zimejaa. Sasa jemedali wetu mtetezi wawanyonge JPM ameingia kaweka mambo sawa tunampa mitano mingine ili kazi iendelee.Kupandishwa mishahara ni haki ya wafanyakazi sio hisani ya mtu, hisani unaweza kufanya kwa mfanyakazi wako ila wafanyakazi wa serikali ni sheria zinaongelea haki za mfanyakazi. Unaweza kumfukuza mfanyakazi wako kwa madakika tu ila mfanyakazi wa serikali ziko taratibu sina uhakika na wafanyakazi wa private sector ila naamini ziko sheria. Sheria zimewekwa makusudi ili kuwalinda vinginevyo ingekuwa ni kama kumpa binadamu madaraka ya kugawa rizki ingekuwa balaa na msiba. mzee wetu katika miaka 5 kafukuza wangapi? hajavunja sheria ila katumia madaraka yake kaumiza familia ngapi? tushukuru Mungu ndio anagawa rizki ingekuwa binadamu ndio kapewa kazi hiyo..........
Failed politicianNilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!
Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kila amapoonbwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kwa wafanyakazi hao, katika kila sherehe za Mei Mosi, kila mwaka tokea aiingie madarakani mwaka 2015, akidai kuwa hawezi kuongeza mishahara wafanyakazi, kwa kuwa katika kipindi hiki anajenga miundo mbinu mikubwa ya reli ya SGR na bwawa la umeme la Stieglers Gorge?
Wakati Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa sababu hizo zisizokuwa na mashiko hata kidogo, marais wenzake wote waliomtangulia walikuwa wakiwaongeza mishahara yao wafanyakazi, pamoja na marais hao pia walikuwa wakiendelea kujenga miundo mbalimbali hapa nchini
Hivi Rais Magufuli kutoa ahadi hiyo wakati huu wa kampeni, anatugeuza sisi wafanyakazi wa nchi hii ni wajinga mno na tunaoweza kudanganyika kirahisi hivyo?
Sisi wafanyakazi wa nchi hii, hatudanganyiki tena na Rais Magufuli na tuna jambo letu ambalo tutalitimiza ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Magufuli arudishe fao la kujitoaHatudanganyiki tena
SureMzee meko hafai hata ukatibu kata! Hatutaki kuongozwa kama mifugo!
'ID' mpya hii kwa ajili ya kampeni...teh teh teh Kisu kimegusa mfupa kudadadeki.Acha ramri hizo, atakuwa mbaya zaidi kwani wewe ni mama yake mzazi unajifanya unamjua sana. Watanzania tumechagua ukweli na maendeleleo, tunajua Magufuli akiahidi anatekeleza. Aliposema aongezi mishahara alitoa sababu tukamwelewa, sasa ameahidi kupandisha tunamwamini. Mfano alisema atajenga barabara akajenga, alesema atanunua ndege ilikufufua shirika la ndege amefanya, alisema atanunua korosho kwa bei ya elfu3 kwa wakulina kanunua, acha uzushi wako sisi tuko na mzalendo wa kweli anayetuheshim kwakutuambia ukweli kuliko huyo kibaraka wenu cha domo mropokaji jeuri. #MAGUFULI MI 5 TENA KAZI IENDELEE