Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

Tena alikuwa akijibu hoja na vitisho juu

Yeye alidhani kuwa mwaka wa uchaguzi hautafika milele!

Bila shaka yoyote alijua uchaguzi utafika lakini alijua atachaguliwa kwa kura za raia wengine wasiokuwa wafanyakazi. Aliamini kura za wananchi wa vijijini zitamtosha!
 
Mpe kura halafu uone
 
Tundu Lissu ongeza kupiga spana, kwa kuwa huyo Jiwe ameanza kutepeta..................

Hadi hivi sasa anaanza kuwaahidi wananchi, vitu ambavyo siku za nyuma alikuwa akijibu kwa jeuri kubwa kuwa hataongeza hiyo mishahara ng'ooo
Sijui ameona nini ambacho sisi wengine hatukioni?.Kuna kitu sio bure.
 
Watanzania wameshaamua. Tukutane tarehe 28,29 na 30 hapahapa kupeana pongezi na pole
 
Mbona hakuongeza Mei mosi!!?
Huo ni utopolo, miaka mitano akiwa Rais hajaongeza! Hakujua kuwa Urais ni miaka mitano!?
Kwani kamaliza kujenga mastiglers yake?!
 
Uwanja wa chato wa ndege na mpira wa wa miguu viko kwenye ilani ipi ya CCM na ya mwaka gani na ni ukurasa gani mkuu??
Muulize Mbowe kwanini uwanja wa Kia uko mbali na mlima kilimanjaro na ngorongoro
 
Uwanja wa chato wa ndege na mpira wa wa miguu viko kwenye ilani ipi ya CCM na ya mwaka gani na ni ukurasa gani mkuu??
Huyu jamaa anajua kweli kutapanya pesa ya Umma.............

Na kwa vile amemuweka mpwa wake kwenye Hazina, ndiyo "wanajichotea" hiyo pesa ya Umma, kadri wanavyotaka

Hata kumtoa yule CAG, Profesa Assad, ni kwa sababu hiyo ya kutotaka kuulizwa namna anavyotumia pesa ya Umma
 
Ni wengi tu Kama nyie akili zinaanza kuwakaa sawa..Utawala wa Magufuli hakuna ambaye hajajeruhiwa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…