KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,514
- 2,325
Kwani wewe mfanyakazi.Hatudanganyiki tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe mfanyakazi.Hatudanganyiki tena
Ukweli unaujua. Sema huwa mnakaririshwa sanaYaani kura zote ni Lissu tu huyo jpm utampatia wewe tu
Tena alikuwa akijibu hoja na vitisho juu
Yeye alidhani kuwa mwaka wa uchaguzi hautafika milele!
Mpe kura halafu uoneUzalendo ni pamoja na kusema ukweli na kuacha unafiki pamoja na ubinafsi ,jpm tunampenda wote ilaa kwa hili na mishahara amabalo lipo ki katiba na kikanuni mkuu amebugi sanaaa,kumtetea na kumsifia nikutomtendea haki yeye na hivyo hatymkosei mungu tu Bali pia yeye .Ndio amefanya mengi ilaa hili la kutoongeza mishahara na kupandisha makato ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa wanufaika ni kutokosa utu na kuwajar wafanyakaz .
Sema ukweli na ukweli utakuweka huruu,saidia nchi yako kwa kuwa muwazi na kuacha ubinafsi ,shauri vizuri na kwa upendo ,huu Ndio uzalendoo
Sijui ameona nini ambacho sisi wengine hatukioni?.Kuna kitu sio bure.Tundu Lissu ongeza kupiga spana, kwa kuwa huyo Jiwe ameanza kutepeta..................
Hadi hivi sasa anaanza kuwaahidi wananchi, vitu ambavyo siku za nyuma alikuwa akijibu kwa jeuri kubwa kuwa hataongeza hiyo mishahara ng'ooo
Unajitegemea au unaishi kwa mtu/ndugu yako?Haha mimi kura yangu ni JPM tu.
Muulize Mbowe kwanini uwanja wa Kia uko mbali na mlima kilimanjaro na ngorongoroUwanja wa chato wa ndege na mpira wa wa miguu viko kwenye ilani ipi ya CCM na ya mwaka gani na ni ukurasa gani mkuu??
Au muulize gwajiuno ni kwanini ameamua kujisilimisha na kujiiita chid Gwajima.Muulize Mbowe kwanini uwanja wa Kia uko mbali na mlima kilimanjaro na ngorongoro
Huyu jamaa anajua kweli kutapanya pesa ya Umma.............Uwanja wa chato wa ndege na mpira wa wa miguu viko kwenye ilani ipi ya CCM na ya mwaka gani na ni ukurasa gani mkuu??
Ni wengi tu Kama nyie akili zinaanza kuwakaa sawa..Utawala wa Magufuli hakuna ambaye hajajeruhiwa!.Uzalendo ni pamoja na kusema ukweli na kuacha unafiki pamoja na ubinafsi ,jpm tunampenda wote ilaa kwa hili na mishahara amabalo lipo ki katiba na kikanuni mkuu amebugi sanaaa,kumtetea na kumsifia nikutomtendea haki yeye na hivyo hatymkosei mungu tu Bali pia yeye .Ndio amefanya mengi ilaa hili la kutoongeza mishahara na kupandisha makato ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa wanufaika ni kutokosa utu na kuwajar wafanyakaz .
Sema ukweli na ukweli utakuweka huruu,saidia nchi yako kwa kuwa muwazi na kuacha ubinafsi ,shauri vizuri na kwa upendo ,huu Ndio uzalendoo
Watanzania gani?Watanzania wameshaamua. Tukutane tarehe 28,29 na 30 hapahapa kupeana pongezi na pole
Tukutane tarehe 28,29 na 30 hapahapa kupeana pongezi na pole
Kaungane na mama Samia akiwa na Basha wake Yule bwanamdogo awape pongezi hiyo tarehe 28,29 na 30 kulekule Zanzibar.Tukutane tarehe 28,29 na 30 hapahapa kupeana pongezi na pole
Jazba lote hilo mapema yote hii😎😎 jikaze buanaKaungane na mama Samia akiwa na Basha wake Yule bwanamdogo awape pongezi hiyo tarehe 28,29 na 30 kulekule Zanzibar.