Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

Aliogopa hata kufanya mkutano kibamba na ubungo
 
Anagalia huyu Tumbili,inawekwa kwenye ilani ya uchaguzi kanakwamba leo ndio anaanza kutafuta urais?
Miaka mitano hiyo yote tulikua tunakula hiyo kichwachake kama cha kubanga?
Bora yeye na huyo mlemavu wenu wa kuongea ana spite saliva kama kiboko. Nyambaff
 
Kama ana nia ya kweli aongeze mshahara mwezi huu wa October vinginevyo.......
 
Unajielewa wewe kweli?
 
Bwana Magufuli ana asili ya utapeli tapeli
 
Robo tatu ya watendaji ya wake wote atapiga chini, walimdanganya Sana anakubalika tofauti na Hali halisi.

Ajabu kuna watumishi wanamsapoti Hali wanakuja tumbulia, faida ipi sasa, hati hati sirro,mabeo na Mahera ndo ataanza nao kuwatumbua. Wakishatumbuliwa ndio ukumbuka umuhimu wa mabadiliko sababu mnufaiko umekwisha.
 
Kwa alivyotendewa, atalipiza kisasi
Hicho kisasi atakilipiza wapi?

Wewe una-assume kama atakuwa amechaguliwa kwa awamu nyingine, lakini Mimi kwa kuangalia indications zote zinampa Tundu Lissu, uwezekano mkubwa wa kushinda kwenye uchaguzi huu
 
Kwa alivyotendewa, atalipiza kisasi
Nyoka ni nyoka haijalishi anabadili rangi,yaani watanzania mnataka kupiga nje wakati mmebaki na goli!Mnaogopa au mnamhurumia yule mjivuni katili,nyoka ni kupiga kichwa tu basi,siyo kila baada ya uchaguzi wafanyakazi wanalialia ati shemeji unatuachaje?#NIYEYE KURA YA KIMBUNGA
 
Jiwe na watoto wa dada zake wametugeuza sisi mifugo yao,
Wameiteka ccm imekuwa Mali ya ukoo.
 
"Sitoshiriki kuharibu AMANI ya Taifa langu wala kurudisha nyuma Maendeleo kwa KUWEKA REAHANI RASILIMALI ZETU
~Nitamchagua MAGUFULI"

#TulipotokaTunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Hicho kisasi atakilipiza wapi?

Wewe una-assume kama atakuwa amechaguliwa kwa awamu nyingine, lakini Mimi kwa kuangalia indications zote zinampa Tundu Lissu, uwezekano mkubwa wa kushinda kwenye uchaguzi huu
Wajinga ni wengi nchi hii,we cheki kuna mpaka watumishi wa tume wanampigania Hali akishinda tu ni lzm ataanza nao kuwashughulikia kwa kuwatumbua,atatumbua robo tatu ya watendaji wake Sasa sijui huwa na matope kichwani.Check ma polisi mtu amewanyima haki zao za kikatiba za nyongeza za mishahara still bado yanasapoti ccm,Hawa ni maiti au binadamu,unachezea bomu linalokuja kukuumiza
 
Soon atawatoa wazee wa uhamsho jela kwa jinsi alivyozidiwa, anahaha kila sehemu kutia huruma, arudi sasa wengi watakimbia nchi hii am telling you.
Kanda ya ziwa wapige kura zote za kumkataa ili asijewabomolea nyumba zao.
Huyu ni adui wa taifa, we endelea kumkumbatia ili aje akutumbue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…