Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema akiingia tu ikulu tena,ananunua ndege zingine.Wewe acha unafiki unafikiri hutoba ya Jana alisoma akiwa chumbani kwako tu. JPM amejipambanua kwakusema ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Aidha jana ametoa sababu za wazi kabisa kwamba alikuwa amaimarisha uchumi akimanisha ukusanyaji wa kodi, kuziba mianya ya rushwa, wafanyakazi hewa, kuzibiti mafisadi, kuongeza nidhamu na uwajibikaji kazini. Sasa ameona mambo yapo kwenye right truck, uchumi umekua nidhani kazini na uwajibikaji umekua sasa mishahara itapanda kwa speed ya kimbunga. Sisi wananchi wajasilia mali tumemuelewa Sana. Tunajua miaka mitano tulikotoka hapa tulipo na tunako elekea. Usishi kwa mazoea utafilisika ndugu amka. #JPM mi5 tena kazi iendelee
Kiukweli hizi clip zingekuwa zinarushwa kama zamani kwenye ma group ya whatsap,Facebook hali ingekuwa mbaya zaidi ya sasa!Sikiliza hii:
Huyu Magufuli ni mwongo na mnafiki haijawai tokea. Sikiliza hii:
Sikiliza kauli yake hapa:
Akawadanganye hao Mafisi wenzake wa Lumumba!!Kasema ataongeza mishahara kwa wafanyakazi. Mi5 tena kwa JPM
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!
Hiyo ndiyo hasara ya kuandika uzi usio na mashiko ukihisi wasomaji wote wa JF ni vilaza wa kucheza wimbo wasioujua.Muulize Mbowe kwanini uwanja wa Kia uko mbali na mlima kilimanjaro na ngorongoro
Kwa taarifa yako haijawahi kutokea Rais mkweli na mzalendo na mwenye mapenzi ya kweli kwa watu wake wote. Niwakumbushe aliwaomba wafanyakazi wavumulie hapo aliwapa ukweli ikiwa ni namna bora sana ya kuheshim wafanyakazi.Akawadanganye hao Mafisi wenzake wa Lumumba!!
Magufuli alishawaambia WATUMISHI HAWEZI ONGEZA MISHAHARA MPAKA AKAMILISHE MIRADI YAKE YA FLYOVERS, UBUNGO INTER CHANGE, STIEGLERS GORGE, SGR, etc.
Hemu atuondolee upuuzi wake buana!!!
Sisi Wafanyakazi wa Serikali tuliodhulumiwa nyongeza ya Mishahara katika Miaka mitano ya Huyu Mhutu, huku tukifukuzwa kazi hovyo na kutukanwa, tutamnyoosha tarh.28 wiki ijayo, Hatutaki UjingaNilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!
Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kila amapoonbwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kwa wafanyakazi hao, katika kila sherehe za Mei Mosi, kila mwaka tokea aiingie madarakani mwaka 2015, akidai kuwa hawezi kuongeza mishahara wafanyakazi, kwa kuwa katika kipindi hiki anajenga miundo mbinu mikubwa ya reli ya SGR na bwawa la umeme la Stieglers Gorge?
Wakati Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa sababu hizo zisizokuwa na mashiko hata kidogo, marais wenzake wote waliomtangulia walikuwa wakiwaongeza mishahara yao wafanyakazi, pamoja na marais hao pia walikuwa wakiendelea kujenga miundo mbalimbali hapa nchini
Hivi Rais Magufuli kutoa ahadi hiyo wakati huu wa kampeni, anatugeuza sisi wafanyakazi wa nchi hii ni wajinga mno na tunaoweza kudanganyika kirahisi hivyo?
Sisi wafanyakazi wa nchi hii, hatudanganyiki tena na Rais Magufuli na tuna jambo letu ambalo tutalitimiza ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Haha ukisikiliza ya huku mtandaoni, unaweza ukadhani hata kwenye mikutano yake (Magufuli) watu hawaendi.Kwa kweli apige zaidi spana had Maji ayaite Mmaa. Sasa hivi tayari yupo desperate kila ahadi nzuri za Lissu naye adandia na kuahidi kama vile hakuwahi kuziahidi.
Wale wawasha mitambo wake wote Jamii imewapuuza wamebaki Kufokea watu Tu.
Inawezekana wewe ni familia masamaki wa nyumba 70 sikushangai ukimchukia JPM endelea kulia lakini 28/10/2020 kura za heshima kwa JPM nyingi mno.Sisi Wafanyakazi wa Serikali tuliodhuliwa nyongeza ya Mishahara katika Miaka mitano ya Huyu Mhutu, huku tukifukuzwa kazi hovyo na kutukanwa, tutamnyoosha tarh.28 wiki ijayo, Hatutaki Ujinga
Watz tulisharogwa..Kama walimu hopeless kabisaHuyo haaminiki, aliahidi laptop kila mwalimu, milioni 50 kila kijiji, na Ilani yao ya mwaka 2015 waliahidi katiba mpya, baada ya kupata wakaruka kimanga.
Na hivi itakuwa awamu yake ya mwisho, anajua hana kimbembe kingine Cha kampeni..atatunyorosha..sio kutunyoosha, atatunyorosha [emoji23]Ni kweli kabisa, na kama akishinda mtakoma
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!
Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kila amapoonbwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kutokana na kupanda kwa hali ya maisha kwa wafanyakazi hao, katika kila sherehe za Mei Mosi, kila mwaka tokea aiingie madarakani mwaka 2015, akidai kuwa hawezi kuongeza mishahara wafanyakazi, kwa kuwa katika kipindi hiki anajenga miundo mbinu mikubwa ya reli ya SGR na bwawa la umeme la Stieglers Gorge?
Wakati Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa sababu hizo zisizokuwa na mashiko hata kidogo, marais wenzake wote waliomtangulia walikuwa wakiwaongeza mishahara yao wafanyakazi, pamoja na marais hao pia walikuwa wakiendelea kujenga miundo mbalimbali hapa nchini
Hivi Rais Magufuli kutoa ahadi hiyo wakati huu wa kampeni, anatugeuza sisi wafanyakazi wa nchi hii ni wajinga mno na tunaoweza kudanganyika kirahisi hivyo?
Sisi wafanyakazi wa nchi hii, hatudanganyiki tena na Rais Magufuli na tuna jambo letu ambalo tutalitimiza ifikapo Oktoba 28 mwaka huu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Peleka misosi hiyo kwa waliberali wenzioHiyo ndiyo hasara ya kuandika uzi usio na mashiko ukihisi wasomaji wote wa JF ni vilaza wa kucheza wimbo wasioujua.
Revise and be wise otherwise no rise.
Karibu lunch hapa Tips Kiongozi