nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
Kazi ya kuwafanya watanzania waishi kama shetani siyo?fazili,
Naona unapinga ili upinge tuu Ila ukweli haujifichi, mzee kafanya kazi nzuri
Maana ilikuwa ni ahadi yake.
Ninyi maliamini usemi ule uliwalenga majiri tu, sasa ivi ugali wa kachumbari ndiyo mlo kamili