Kazi ya kuwafanya watanzania waishi kama shetani siyo?
Maana ilikuwa ni ahadi yake.
Ninyi maliamini usemi ule uliwalenga majiri tu, sasa ivi ugali wa kachumbari ndiyo mlo kamili
Huyu hata akifa mabaya yake lazima tuyaseme kama ambavyo hatukusahau mauaji ya Mwembe chai na Pemba pia hatutasahau watu kutekwa na kuuawa kisha kuokotwa wakiwa wamefungwa kwenye viroba kamwe hatutasahau.