johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yote hayo yalifanyika kwa nia njema!Ni mtu mwema kwa kuwafukuza maelfu ya watumishi wenye vyeti feki huku akimtetea Makonda kuwa hata kama ana vyeti feki ila as long as anachapa kazi hawezi kumfukuza...
Umenena kwa busaraNi mtu mwema kwa kuwafukuza maelfu ya watumishi wenye vyeti feki huku akimtetea Makonda kuwa hata kama ana vyeti feki ila as long as anachapa kazi hawezi kumfukuza...
NdotoDelete ccm Oct 28
What?????? Kwa nia njema????Yote hayo yalifanyika kwa nia njema!
Haya!What?????? Kwa nia njema????
Haya tukutane October!!!
Mpinzani wake kwa sasa ni mgombea Urais wa CCMMwambie mbona hajamgusa Andrew Chenge ? Kubwa la Mafisadi.
Hata kwa nguvu ya pressure yatapanda tu bwashee,Mnalazimisha maji kupanda mlima
Chenge ni kama Nyalandu wa Ufipa!Mpinzani wake kwa sasa ni mgombea Urais wa CCM
Comrade kama una ushahidi tumpeleke Nyalandu Mahakamani. Mlimuita mzee Lowassa fisadi lakini juzi mlipiga nae picha Ikulu ya Chamwino baada ya mkutano mkuu.Chenge ni kama Nyalandu wa Ufipa!
Lowassa huyu huyu mgombea urais wa Chadema 2015?Comrade kama una ushahidi tumpeleke Nyalandu Mahakamani. Mlimuita mzee Lowassa fisadi lakini juzi mlipiga nae picha Ikulu ya Chamwino baada ya mkutano mkuu.
Na sasa ni mjumbe wa NECLowassa huyu huyu mgombea urais wa Chadema 2015?